Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Tatizo unanifokeaSasa kwa kuwa ufahamu ndio maana unafahamishwa sio dhambi wewe kutokufahamu ila ikitokea unafahamishwa shukuru maana ni Jambo jipya kwako au unahisi nakukaripia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo unanifokeaSasa kwa kuwa ufahamu ndio maana unafahamishwa sio dhambi wewe kutokufahamu ila ikitokea unafahamishwa shukuru maana ni Jambo jipya kwako au unahisi nakukaripia
Hapo nimedhihaki Nini Sasa Mimi nimemjibu chizi maarifa alichoandika hafu Mimi huangalia Jambo kwa angle tofauti tofauti, na Wala haihusiki na kashfa.Sikutegemea kuona mwanamke kumfhihaki mwanamke mwenzie.
Hivi unafikiri ningekutaka wewe ambaye sio (single parent) ningeshindwa?
Tuwekage akiba ya maneno na fake id zisitufanye tuwe fake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huenda uko sahihi
Duuh kwamba mdau hana akili timamu au nimeelewa vibaya?Mkuu unitake Mimi ili iweje Mimi sitamfuti mwanaume, na pia wanaume wenye akili timamu Sasa wewe ungenipatia wapi.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]naipenda sana jf.Hapo nimedhihaki Nini Sasa Mimi nimemjibu chizi maarifa alichoandika hafu Mimi huangalia Jambo kwa angle tofauti tofauti, na Wala haihusiki na kashfa.
[emoji23][emoji23]Mkuu unitake Mimi ili iweje Mimi sitamfuti mwanaume, na pia wanaume wenye akili timamu Sasa wewe ungenipatia wapi.[emoji23][emoji23][emoji23]eti ungenitaka loh! Relax
Hahaaa kaniambia eti akinitaka lazima anipate tu bila chenga yoyote in short sijui kanionaje aisee, maana kwa hii mada yake tu mhhh.Duuh kwamba mdau hana akili timamu au nimeelewa vibaya?
Hiki kiherehere changu kudakia bifu lenu usije jipiga mtama kama Mbasha ..😀
Mkuu napenda kusema kuwa abarikiwe sana Melo aliyetupa uwexo wa kuwa na id fake.Duuh kwamba mdau hana akili timamu au nimeelewa vibaya?
Hiki kiherehere changu kudakia bifu lenu usije jipiga mtama kama Mbasha ..😀
Wewe ndo umekuja kujimwambafai humu mkuu, ndio maana nikawa na wasiwasi humu JF kila mtu Yuko vizuri usipokuwa Mimi tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]naipenda sana jf.
Kila mtu matawi lakini uhalisia tunaujua wenyewe[emoji28][emoji28][emoji28]
Post hii nitakukumbusha siku moja
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]oooh LordHahaaa kaniambia eti akinitaka lazima anipate tu bila chenga yoyote in short sijui kanionaje aisee, maana kwa hii mada yake tu mhhh.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii ya kudakia vitu Mimi natembeza tu mitama kwa kwenda mbele
mimi ni memba tangu 2013.That's the spirit mkuu.
Unapotezea maisha yanaenda hakuna haja yakutengeneza adui.
Unaweza kuta mtaani nyie mnajuana na cariha lakini hapa hamjui kama mnajuana na kuheshimiana sana.