Maamuzi Magumu: Nimeamua kuwa baba wa mtoto wa rafiki yangu

Dah..yaani mtoto anafikisha miaka 13...yule jamaa anarudisha majeshi.......halafu mwamba unawekwa kando .....wanawake hawa.......dah 🤭 🤣
 
Stori za vijiwe vya kahawa
 
Mkuu unawajua wanawake kweli wewe?[emoji3][emoji3][emoji3]. Sawa hongera kwa moyo wa kujitoa na kila mtu humu atakupa Hongera na Mimi nakupa hongera. Lakiniii unawajua wanawake vizuri kweli mkuu?
 
Mkuu unawajua wanawake kweli wewe?[emoji3][emoji3][emoji3]. Sawa hongera kwa moyo wa kujitoa na kila mtu humu atakupa Hongera na Mimi nakupa hongera. Lakiniii unawajua wanawake vizuri kweli mkuu?
Sina uhitaji naye bali kumvusha tu
 
Hongera Sana Kaka,umeonyesha ukomavu wa Hali ya juu
 
Inaendelea........

Kuna mafundisho niliyopata nawe utapata pia. Ni Jambo la kweli limenitokea.

Baada ya kumbembeleza Sana akanyamaza. Nikamuomba anieleze sababu ya jamaa kukataa mimba na kwao kufukuzwa. Akaniambia kuwa jamaa alishaanza kumfanyia visa vidogo vidogo. Akawa anavumilia.
Siku hiyo jamaa alimuita wakapange kuhusu kuishi pamoja. Mwajuma akaona Jambo jema, akaenda akapika wakala na mapenzi wakafanya.

Baada ya kutoka kwa jamaa yake, akiamini kuwa Mambo yamekuwa poa. Kumbe alikuwa anajidanganya. Jamaa akamwambia asimtafute tena, hamuhitaji.

Baada ya kugundua ana mimba akaenda kwa jamaa kumweleza. Jamaa kagoma kasema alishamwambia asimjue wala Nini. Mwajuma akawa amepoteza. Akarudi kwao akiwa na wazo la kujiua tu.

Wazazi walipombana sana na kupata ukweli wakamfukuza, kwa msimamo aende kwa aliyempa mimba.
Kwahiyo hapo alipo amekuja kwa shoga ake(shemeji yangu),kupata ushauri.

Mimi nikamwambia asiwe na mawazo mabaya, suala la mimba ni la kawaida tu. La msingi akawaombe radhi wazazi. Nikamwambia awaambie kuwa jamaa kakubali atakuja akirudi safari. Mimi nikamwambia tuwasiliane kesho mchana. Nikampa 20,000.
 
********
Kweli kesho yake mchana akanipigia akiniambia ameongea na wazazi wameridhia huyo jamaa kwenda. Nikamwambia jioni nimkute kwa bro.

Nilipotoka kwa job, nikapita kwa bro nikamkuta. Nikamchukua mpaka sehemu fulani tulivu maeneo ya kule kule. Nikamwambia anieleze msimamo wake kuhusu mimba na uhusiano. Aliniambia kuwa uhusiano na jamaa basi, kuhusu mimba ameomba pesa kwa rafiki yake akaitoe. Ni kweli alidhamiria kuitoa. Nikagundua ni kukosa matunzo na uoga wa malezi. Nikamwambia "nitailea hiyo mimba mwanzo mwisho. Nakuomba uwe radhi kutoitoa. Mtoto hana kosa. Niambie chochote utachohitaji ntakupa". Hakuamini kabisa alinikodolea macho kwa sekunde kadhaa, Kisha akaanza kulia.

Nikamrudisha kwao nikampatia 50,000 ya matumizi madogo madogo, endapo atajisikia kutamani kula kitu; asiwasumbue wazazi.

Siku moja tukiwa home amekuja kunisaidia kufua. Baada ya menu tukajikuta tupo kwa bed. Kwa kweli sikuwa nimepanga kumla, ila yeye alipanga. Ikawa kila weekend tunarekebisha njia.

Alipofika miezi tisa. Wazazi wakaanza vuguvugu la kumtaka ampeleke mpenziwe. Nikajua wazazi wanahisi kuingizwa Chaka. Nikamwambia awaambie atakuja tu(Mimi huyo wakati huu).
Nikijiandaa kwenda nikapata tena safari ya kikazi miezi 3 njombe na mbeya. Mama kijacho akawa na wasiwasi dhidi ya wazazi watachukuliaje.
Nikajua tatizo pesa. Familia zetu za uswazi ndo changamoto ilipo. Nikamkabidhi 800,000 akawakabidhi wazazi 500,000 za maandalizi. 300,000 aiweke ktk simu yake kwa siri.

Itaendelea.....
 
I see!
 
Sioni kama kutakuwa na tatizo maana mtoa mada hajasema kuwa atakuwa mke wa pili, amesema atampa uhuru kwenye upande wa kimahusiano
Hujui nini maana ya wivu wewe. Uhaisia ndo huo alichoandika hapa ni jinsi anavyowaza ila haiwezekani😂😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The good thing is you are responsible.

[emoji1635][emoji1635] Cheers.
Hiyo cheers naipokea kishingo upande [emoji2][emoji3][emoji3] maana wananifilisi kwa kweli, napenda watoto wengi lkn cha moto nakiona
 
Nimeelezea kwa kina sana mkuu.
My concern ni kumvusha kipindi hiki kigumu na kuandaa mazingira bora ya kijacho tu.
amu saidia hili
Kumbuka inaelekea ni wewe ndiye uliyonekana kuwa front katika kubeba huo mzigo maana yeye alishakupotezea ukawa unamtafuta..

Dunia haipo kama jinsi uionavyo hizo jitihada za wewe kumtafuta believe me ni nguvu za kukuaribia future yako kupitia huyo mama...

Trust me scenario za hivi huwa zina bitter end.

Kusaidia MTU ni jambo jema tena sana but take extra precaution namna unavyoenda kuhandle hii issue. All the best
 
Unachosema ni kweli kabisa, waliokwisha badilishana damu ngumu sana upendo wao kufa moja kwa moja
 
Mstari wa mwisho nitaufanyia kazi siku zote
 
Hujui nini maana ya wivu wewe. Uhaisia ndo huo alichoandika hapa ni jinsi anavyowaza ila haiwezekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Komenti zako nzuri sana ngoja nipunguze u buze nikusome vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…