Maamuzi Magumu: Nimeamua kuwa baba wa mtoto wa rafiki yangu

Kumbe mlikuwa mnaibana Sina haja ya kujiuliza kwa nini aliachwa...hongera baba k naona unahisi huenda mimba ni yako maana mlikuwa mnachanganywa 3 kwa mpigo
 
Kumbe mlikuwa mnaibana Sina haja ya kujiuliza kwa nini aliachwa...hongera baba k naona unahisi huenda mimba ni yako maana mlikuwa mnachanganywa 3 kwa mpigo
Asante mwananchi wa uchumi wa kati
 
Kiongozi naona usonge mbele
Ila ushauri wa ziada; kwa nini usimuoe huyo dada akatulia na kuemuepushia kuzalishwa tena hapo baadae
Naamini atakuheshimu down to Earth na hata ukioa mwingine; believe me itakuwa vigumu sana kupata mtu wa kukuheshimu kama huyo...
 
Too late mkuu
 
Ubarikiwe mpaka ushangae,ukaongezeke maradufu, Mungu akulinde uingiapo na utokapo
 
Nakushauri ukachukue na watoto yatima kuishi nao, huyo ana mama yake na hajazaliwa, wapo wasio na mama wala baba, tena wameshazaliwa. Ila sikupangii, ningechukulia kuwa unapenda watoto wapate malezi ya upendo na uko tayari kuwapa upendo.
 
Wewe ni malaika.
 
Kwani mm nimekataa Haya yote usifanye? Fanya hata zaidi ya hayo. Ahaaaa ati ni heshima na urafiki wa kawaida? Nachojua things change.Haya baba nimekubali ni urafiki wa kawaida, ila ninachoamini, akili ya kichwa kidogo haijawai mwacha mwanaume salama. All the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…