klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
heheh halaf haya majina yako jibaba, Dah! inaonekana uswahili unawabamiza kinomiAaah wasema kweli katibu?
Halafu Mariamu Ndalandefu anakusalimia bana...
heheh halaf haya majina yako jibaba, Dah! inaonekana uswahili unawabamiza kinomi
hehehe hapo kwenye self evaluation hapo, kweli kuna vitu vinakufanya uwe exceptional, si ushawahi kuona king'ang'anizi anaondoka na bonge la mchumba bila mchumba kupenda kwasababu tu mchumba yuko weak kwenye suala la huruma? haya mambo swahiba yana ntu na ntu hapa tunaaply general rule tu. lol
Kulaleki! uskute hayo ni real names ya JF members ambao avatar zao zinatupelekesha resi balaa na tunawaPM deili. Mkuu lazima utakuwa selebriti wa kwa mtogole tuHeheheee halafu kuna yule Sauda Kiroboto na shostito wake Mwadawa Mcharuko. Heheheeee hawa wawili hawa....daaaah!
Swahiba jenga haka kapicha. Kuna mdada umemuona na baada ya kufatilia steps zake ukagundua kwamba she is more than a type of girl you are looking for, unahisi ukimpata huyu basi maisha yako yamekamilika na yatakuwa na furaha milele na ukimkosa huyu basi you might have the torture within you for the rest of your life. Outcomes ni mbili tu na hakuna ya tatu, win or loose. Weka gauge yako ya confidence ujipime itakuwaje?
BTW: hivi umewahi jiuliza kwanini mechi za fainali zinakuwa boring kuliko mechi za group stage? zingatia, wale wanacheza kuleta heshima ya timu, wewe unataka kucheza kuleta heshima ya nafsi.
Kesi ni tofauti kama hauna hisia za kweli, you have nothing to loose, unamtokea mwajuma hehehe akileta za kuleta next day unamuibukia zubeda na yeye akileta uzembe unatafta kamcharuko kamoja ka JF unakaPM wala kamoyo hakakudundi kabisa yaani.
hehehe swahiba hii rule haiapply kwenye kutongoza tu hata kwenye kuishi pia unapoteza confidence somehow kwa kumchukulia yule mwenza wako ndio everything (refer: misukule ya mapenzi , source Mbu), kuhusu suala la kutongoza kuko kwa namna nyingi swahiba na hii ni mada mpya, lakini njia nzuri ya kumtongoza ambae una hisia nae za ukweli ni "learn and impress" (hii inaficha kale kawoga tulikokazungumzia kidogo), kuliko ile ya "talk and get" (ambayo hii ndio nazani iko kibalehe zaidi)
Uamuzi wowote utakaotolewa au kuchukuliwa kwenye hii issue hauqualify title ya 'maamuzi magumu'.
Maamuzi magumu kwenye mapenzi ni kuamua kuvunja ndoa kati ya mke na mume huku mkiwa na watoto, na hamna uhakika kama hampendani tena bali ni circumstances tu zinawaletea kutoelewana.
hehehe hapo kwenye self evaluation hapo, kweli kuna vitu vinakufanya uwe exceptional, si ushawahi kuona king'ang'anizi anaondoka na bonge la mchumba bila mchumba kupenda kwasababu tu mchumba yuko weak kwenye suala la huruma? haya mambo swahiba yana ntu na ntu hapa tunaaply general rule tu. lol
hahhaaaaaaaaa, mambuzzzzzzzzzzzzzzzzz
dogo sasa ntakulima ban ya server!!
LOL
ngoja wenye jamvi waje leo ntakoma
...hapo sasa, halafu mkiambiwa love is not blindness but a choice not to think mnabisha!....unawezaje ku predict future namna hii?
...hapo sasa, iwapo ulijiaminisha one of your ex was everything, except kwa hizo hasira zake za kuua mtu...kwanini asijipe 2nd thoughts akijitahidi 'kujifanyisha' mpoleeeee hatosulubiwa?
....sahihi kabisa freema agyeman, lakini bahati mbaya uwezo wa kifedha pia unachukua nafasi kubwa kwenye maamuzi haya, chunguza.
......salaaaaaaaaaaaaale!
....aissseeeeeeeeeeeee!?
hii kweli ni blue monday kwangu!
am out!
Mkuu leo si ndio siku ya mafeedback? mbona unaendelea kukusanya ushauri tu? au mdada kaextend ?
Dah! aisee skujua nina bahati kiasi hiki, asante na ubarikiwe sana shem, hivi hajarudi nyumbani mpaka mida hii huyu Mbu? au ule ushauri umezaa mengine? halaf hata feedback hajaleta. Salam zimefika shem. Ulale salama shem na uniote nakogeshwa na Lizzy.Leo nimeingia JF kwa ajili yako tu shemeji yangu. Haya nimefarijika 'kukuona' ulale salama
(Ongea taratibu Mbu asisikie)
Msalimie Mbu, Mzee wa Ushauri!!
Mkuu leo si ndio siku ya mafeedback? mbona unaendelea kukusanya ushauri tu? au mdada kaextend ?
Leo nimeingia JF kwa ajili yako tu shemeji yangu. Haya nimefarijika 'kukuona' ulale salama(Ongea taratibu Mbu asisikie)
Msalimie Mbu, Mzee wa Ushauri!!
Dah! aisee skujua nina bahati kiasi hiki, asante na ubarikiwe sana shem, hivi hajarudi nyumbani mpaka mida hii huyu Mbu? au ule ushauri umezaa mengine? halaf hata feedback hajaleta. Salam zimefika shem. Ulale salama shem na uniote nakogeshwa na Lizzy.
....maaaazeee....kuna maneno mwj1 ameyaficha pale juu, umeyaona?....lol...haya bana.
back to topik....hivi ushawahi kuusikia wimbo huu?
umeyasikiza vizuri maneno na ujumbe wake?....i have been there bro,....najua 'machungu'
ya kuambiwa "am sorry darling, today is not your day!"....mapenzi haya, acha tu yawahi...
Daaaah! ama kweli mzoea tenge havai jeans , khaaaa! ndo nayashtukia sasa hivi yale maneno invisible, ama kweli leo siku ya lawyer dah!
Mbu ningekushauri ubadilishe ID tu lol
hahahahahaha! Never!!!....mbu keshakumbana na maskendeli makubwa sana maishani,
kwa umri huu tena? wala sitakimbia kivuli changu kama kunguru aukimbiavyo ubawa wake...
...utani pembeni wakili maarufu, ushawahi kukisoma hiki kitabu?
find it!
heheeh sijawahi mkuu lakini nikiunganisha title ya kitabu na ule wimbo wa kwanza basi Lawyer nishapata konklushen ya unachokusudia. Dah! mie nitauchuna tu ili watoto wasije wakaelewa lol
Hivi mkuu moskwito unataka kuniambia seriously unakubaliana na dilemma ya huyo mdada?
.....e bana wee....unakwenda kasi mno...utapindua gari bure....hiyo konklusheni mnnhhh!?
well,....
mimi nimekupa wimbo wa judy boucher usikilize ujumbe wake mkaka anavyoambiwa...(yalishawahi nikuta hayo!)
kisha nimekupa title ya kitabu hapo kama hujakisoma, online unaweza pata excerpts pia...
....haya mapenzi haya! usiombee braza klorokwini...kuna kipindi dilema inakupata bila mwenyewe kujitambua...remember;
too good to leave, too bad to stay!
Mkuu moskwito leo hapa to be honest kichwa hakichaji kabisa yaani, lakini kama kesho nitapata kaupenyo nitakuja unipe darasa, ningependa kuskia view yako na what daz that book has to offer, BTW hivi unaikumbuka ile mada yako ya misukule ya mapenzi? eniwei tuweke kiporo (niko vere bizee siku hizi sina guarantee ya kuingia lakini nitajitahidi kesho nihudhurie)
Usiku mwema kaka.