Maamuzi magumu...!

....
Mbu..........................what is happening to you? Mbona huu wimbo kama una ujumbe mzito? Are you suffocationg in your relationship darling?? Unajiuliza mmeachana lini???? dah
 
Last edited by a moderator:

haina noma mkuu...
usiku mwema.
Mkuu sasa leo inabidi umwage lile darasa la hii ishu wewe unaichukuliaje kwa mtazamo wako? na dondoo za kale kakitabu, ingawa binafsi nitakatafuta japo online nikipata kamuda.
 
....

Mbu..........................what is happening to you? Mbona huu wimbo kama una ujumbe mzito? Are you suffocationg in your relationship darling?? Unajiuliza mmeachana lini???? dah

...dahhh, mwj1 mood yangu ya leo sio ya jana...enjoy mirindimo ya guitar bana, forget the lyrics...
mbu's a grown up now, hawezi ji suffocate kwenye mapenzi tena...yakimshinda atasema, so far all
is good, 'honeymoon' yenyewe hata miezi miwili bado haijesha...

Mkuu sasa leo inabidi umwage lile darasa la hii ishu wewe unaichukuliaje kwa mtazamo wako? na dondoo za kale kakitabu, ingawa binafsi nitakatafuta japo online nikipata kamuda.

...mkubwa,....a bird in hand worth two in a bush! ...amkamate aliyejaaliwa nae.
Waliotangulia walishashindana ndio maana wakaachana. Suala la wao kujirudisha sasa hivi ni kiashiria kwamba hawakutambua thamani ya walichokuwa nacho mpaka kilipowaponyoka...

excerpts za toka kitabuni, ni self evaluations if it's worth kuendelea na relationship, au to call it a quit!...mfano;

commercial....
...break!

...am sorry, imekuwa ndefu kidogo but yanasomeka na kueleweka si ndio?
unaweza ku link hapo na majibu yangu, na msimamo wangu kuhusiana na 'misukule.'
 
utapata tu ushauri

....aaahhh, ushauri mbona umetosha mkuu? kilichobaki ni kukumbushana tu.
mimi nimeshajiwekea maishani mwangu msemo huu...

...ukutani nime ya frame,
nikilala na nikiamka nayaombea dua nisitetereke hata mrembo aje na
uzuri wa 'hur al ayn'...
 
Mkuu nimekusoma, na nakubaliana na jamaa kwenye hizo self evaluation, lakini hii kitu mapenzi wewe acha tu, samtaimu pahala panapotaka msimamo unakuta sisi tunakosa msimamo kwa kuzikisia feelings za wenza wetu. Hebu msikilize Kate Winslet hapa ujifunze kitu kutoka kwake pia.

Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu

...naam, naam...

lyrics zimetulia maazee....ila ukweli unabakia siri sirini...
hata uwe muwazi vipi kwa mwenzio, huwezi jua siri iliyomo moyoni mwa mwenzako.
mpaka siku atayokutenda. Yaani haya mapenzi hata uyachungue vipi hutapata majibu aisee...

...ndio maana jana nikaweka ile video ya judy boucher,....imagine mdada anamwambia jamaa

"
if my love wasnt here with me tonight
i would leave with you for just a little while
but i love him the same way as i love you
and am sorry i cant be with you tonight..."

...na jamaa unakubali kusubiria zamu yako, ...khaaa!
 
Hapo red hapo mkuu!
unajua kuna maplayer na mapretender ambao wanaweza ku fake smile ukajikuta wewe ulotendwa ndio unaomba radhi, all in all hakuna mjanja kwenye hii sekta, hiyo clip ya judy ndo inauwa mazimaaa na kukatisha tamaa, hakyababu hatufiki lol.

heehhe hapa jicho moja liko ze gunnerz jicho moja JF mkuu
 
Nyie watu (Kloro&Mbu) nawapa likizo la hili somo la mapenzi maana mnachimbua mpaka basi weee!
Kwa umri wetu (vizee) haishangazi sana, Inashangaza kuona dogodogo kama Lizzy anachimbua angle zote za mahusiano, unajua wewe heheh natafta kafree time tu na utulivu wa kutosha, sijamalizana na wewe bado lol
 
Mhhh...tatizo mnatulazimisha na sie tuliojipumzisha tuchambue bana.Pumzikeni na sie tupumzike.
Hehehehe....nimeshaandaa utetezi...ni wewe tu.
 
Mhhh...tatizo mnatulazimisha na sie tuliojipumzisha tuchambue bana.Pumzikeni na sie tupumzike.
Hehehehe....nimeshaandaa utetezi...ni wewe tu.
heheeh hapo red hapo,
twenzetu basi tukajipumzishe, mi nilikuwa nakusubiri wewe tu tutoke, tumuache Mbu alinde sredi lol
 
...hahahaha, haya kalaleni....mimi mpaka nitengue kitendawili hapa kwanini siku hizi kuna mapenzi ya mafungu(?)
yaani, mtu haridhiki na mtu mmoja?why? kwanini?...na mwingine anajikubalisha vipi kuwekwa standby!

klorokwini, akili yangu yote ilikuwa imarati...pheewww, tumetoka salama, heri tupu.
 
Heheheh sasa Mbu huu ni mtego mwingine. Huwezi kutega na kutegua kitendawili mwenyewe bwana....au ndio gia ya kutuweka hapa??

Watu wanapenda kwa wasiwasi siku hizi aisee....tena hiyo ni bahati.Wengi wanaingia kwenye mahusiano kibiashara zaidi ..mtu wa kumpendezesha....pesa..nyumba...gari....maisha mazuri...mtu wa kumridhisha kimwili and so on.Sasa ikiwa huyu wa maisha mazuri hatoshelezi kwingine ndo unakuta mtu anatafuta na mwingine ili huko nako mambo yaende. Yani wanaunganisha unganisha mpaka wapate kila kitu (source KLORO wa ukweli).

Heheheh na wanaokubali kuwekwa standby nao ndo hivyo hivyo ...MAHITAJI.
Kama anapata anachotaka basi mengine yote anayapotezea....alafu na yeye anatafuta mwingine wa kumpa hati miliki ya anayokosa alipowekwa standby.
 
Dah! hiyo buluu hiyo yaani leo tu kuna mkasa nimepatiwa uko exactly sawa na hivo mnavyoongea, ningekuwa sio ufinyu wa muda na michofu walahi ningeuweka wazi zaidi maana labda mngewasaidia pia hawa waathirika kupitia hii thread, yaani dume limemng'ang'ania mdada kwa kisa tu eti mahitaji yake yatasambaratika kwa jinsi walivyojijenga pamoja.
 
Khaaa...embu mwambie aache ujinga.
Kwani kabla yake ilikuaje hata aone hawezi kuendelea bila kua na dada beneti?
 
Khaaa...embu mwambie aache ujinga.
Kwani kabla yake ilikuaje hata aone hawezi kuendelea bila kua na dada beneti?
Tena nitataka ushauri wako with just two of us behind closed doors! kesho utapatikana muda gani?
 
Tena nitataka ushauri wako with just two of us behind closed doors! kesho utapatikana muda gani?

Hahahahah....we Kloro ushauri gani behind closed doors???
Tufanye kibarazani bana!!Ohh umm...10.00- 01.30 GMT+1.lolzz
 
Hahahahah....we Kloro ushauri gani behind closed doors???
Tufanye kibarazani bana!!Ohh umm...10.00- 01.30 GMT+1.lolzz
hahaha muhimu umetoa time tu, hayo mengine yote yanatatulika loool.
ulale salama honey! sweet dreams and spare the sweetest one for me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…