MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Nyumaaaz geuka MJ1...
Karatasi za wengine zinasomeka "Mapenzi na mahusiano is the sweetiest and happiest ingredients of life" Nahisi hiyo karatasi yako umeigeuza up side down...
Back to topic please...
No doubt hapo Kloro...
Mtu akibisha ni sawa na kusema carot sio carot ni matango!!!
....wakili maarufu, nice to see you back!
pamoja na mapungufu hayo, sidhani kama ni sahihi
kumtwanga sindano penye jipu la makalio!
van persie acha ende zake bana, hahaha!...
Hahahhaha Lizzy mydia we acha tu......mie siku hizi ninayatizama mahusiano kwa jicho lingine kabisa! Yaani kama na darasani ningekuwa makini hivi, mbona ningerushwa madarasa!! lakini pamoja na kukazana kukodoa macho bado mapenzi na mahusiano ni another headache my sweetie.
Mbu si kwamba unaikweza hii ishu ni nzito mydia yaani bora usingeahidi jibu jumatatu!!! na hivi hao wenzetu wana yale ya ............But you promised........ utabana ngenge.
.....lizzy unacheka? lol...kuna wadada wanaenda shitaki waume zao wanawanyanyasa...hawataki wapikiwe, wafuliwe, wakoshewe vyombo, wala kutandikiwa kitanda....yaani mke anajiona ananyanyasika kufanywa malkia ndani ya nyumba yake !
....wakili maarufu, nice to see you back!
pamoja na mapungufu hayo, sidhani kama ni sahihi
kumtwanga sindano penye jipu la makalio!
van persie acha ende zake bana, hahaha!...
Loh Shemeji, aksante! Hii pst yako imenifanya nijiulize mengi sana hapa..................so Its a given kuwa huyu mdada hata akiamua kuwa na huyu wa tatu, ataendelea tu na hawa Exes? Hivi ni kweli kuwa wanawake tuko irrational kiasi hiki?? dah!Right decision
Huyo mdada alitakiwa kustick na huyu watatu na kuachana na memories za exes wake kwavile tayari aliamua kwa hiyari yake kumove on regardless kwamba wa sasa ni better au ni worse, ni bora kuongeza wa nne kuliko kumrejea ex ambae umemdefine mwenyewe kuwa abusive.
Right advice kwa mdada
Huyu mdada Moyo wake hauko tayari kumove on na for sure na ni zaidi ya guarantee kwamba huyo mdada ataendelea tu na ex/es wake, hivyo narejea tena, ushauri wangu ni mdada afuate moyo wake na kwakuwa huyu mkaka wa tatu huu mtanange haumuhusu basi ni vyema akadecide baina ya exes wake wawili ili tuepushe kumvictimise na huyu bishanga ambae hajui hata kinachoendelea.
sio kwamba kwa kuwa we ni chelsii na simba sc?Hili sredi nashindwa kulichangia kwakuwa Mbu kafanya makusudi akalitoa Jumamosi wakati anajua ntakuwa nimeshautwika mtungi.
I'll be back........On Monday!!
.
- hivi sasa, yupo kwenye mahusiano yasiyozidi mwaka mmoja na partner mpya.. ambaye yupo ok,...sio angel wala devil...
...anawafahamu vizuri sana hao walitangulia kuliko aliyenaye sasa...
mapenzi ambayo sio serious kivile kama hao waliotangulia.
Tuko mpaka hapa tuko pamoja. Tunatakiwa kuweza kuangalia pande zote mbili kama maabuser na mavictims.
Hili la kuwa[enda hawa wengine kuliko huyu wa sasa ninali doubt kwa sababu kuu mbili
- kwa maelezo ya Mbu ni kuwa kama ataamua kurudi atarudi kwa kuwa anarudi kwa Zimwi limjualo na si kuwa anampenda/wapenda kuliko
- Pengine huyu dada hajui nini maana ya kupenda na kama alivyoelezea Lizzy hajawezatofautisha kupendwa na kutakwa
Mj1 hebu anagalia hizo quotes mbili za Mbu hapa. Kwanza yupo na huyu wa sasa, almost mwaka, pili katika mahusiano yasiyokuwa seriaz kama wale wa mwanzo...
Kuniambia kwamba hamjui vizuri, kwa almost mwaka mzima... nashindwa kujizuia kuguna Mmh... Hapa nahisi hamjui kwa sababu 'mahusiano sio siriaz kiviile'.... (Mbu quoted).
Na nahisi mahusiano sio kiviile, sio kwa sababu ya mda 'mfupi', bali kwa sababu huyu wa sasa 'is short of some tastes' ukilinganisha na wale wa zamani. Hizi tastes zinaweza kuwa vitu tofauti... mshiko (wadada masipinge kuwa hamvutiwi na fweza), handsomeness (very little), uchangamfu (ya, an added advantage), n.k... lakini kubwa inawezekana hawa wa mwanzo walipendwa zaidi kwa sababu walionyesha uanaume wao more briliantly, na usishangae aliuona kupitia ngumi zao...
Shem hili suala si la wanawake bali ni la huyu mdada, irudie kuisoma mara tatu hii sred ya Mbu utagundua kwamba huyu mdada hajaamua kumove on na najua kinachomzuia zuia, kuna kitu hakijaandikwa lakini amini nakwambia there is a big secret behind abusive men (hii tunajua malawyer tu na ni against code of conduct kuihubiri)Loh Shemeji, aksante! Hii pst yako imenifanya nijiulize mengi sana hapa..................so Its a given kuwa huyu mdada hata akiamua kuwa na huyu wa tatu, ataendelea tu na hawa Exes? Hivi ni kweli kuwa wanawake tuko irrational kiasi hiki?? dah!
Hahahahah Tuko we niache tu mie nahic moyo ushakufa ganzi mwenzenu ah!! lol nasubiri miujiza!
Back to the Topi please
Right decision
Huyo mdada alitakiwa kustick na huyu watatu na kuachana na memories za exes wake kwavile tayari aliamua kwa hiyari yake kumove on regardless kwamba wa sasa ni better au ni worse, ni bora kuongeza wa nne kuliko kumrejea ex ambae umemdefine mwenyewe kuwa abusive.
Right advice kwa mdada
Huyu mdada Moyo wake hauko tayari kumove on na for sure na ni zaidi ya guarantee kwamba huyo mdada ataendelea tu na ex/es wake, hivyo narejea tena, ushauri wangu ni mdada afuate moyo wake na kwakuwa huyu mkaka wa tatu huu mtanange haumuhusu basi ni vyema akadecide baina ya exes wake wawili ili tuepushe kumvictimise na huyu bishanga ambae hajui hata kinachoendelea.
Loh Shemeji, aksante! Hii pst yako imenifanya nijiulize mengi sana hapa..................so Its a given kuwa huyu mdada hata akiamua kuwa na huyu wa tatu, ataendelea tu na hawa Exes? Hivi ni kweli kuwa wanawake tuko irrational kiasi hiki?? dah!
.
- hivi sasa, yupo kwenye mahusiano yasiyozidi mwaka mmoja na partner mpya.. ambaye yupo ok,...sio angel wala devil...
Mj1 hebu anagalia hizo quotes mbili za Mbu hapa. Kwanza yupo na huyu wa sasa, almost mwaka, pili katika mahusiano yasiyokuwa seriaz kama wale wa mwanzo...
Kuniambia kwamba hamjui vizuri, kwa almost mwaka mzima... nashindwa kujizuia kuguna Mmh... Hapa nahisi hamjui kwa sababu 'mahusiano sio siriaz kiviile'.... (Mbu quoted).
Na nahisi mahusiano sio kiviile, sio kwa sababu ya mda 'mfupi', bali kwa sababu huyu wa sasa 'is short of some tastes' ukilinganisha na wale wa zamani. Hizi tastes zinaweza kuwa vitu tofauti... mshiko (wadada masipinge kuwa hamvutiwi na fweza), handsomeness (very little), uchangamfu (ya, an added advantage), n.k... lakini kubwa inawezekana hawa wa mwanzo walipendwa zaidi kwa sababu walionyesha uanaume wao more briliantly, na usishangae aliuona kupitia ngumi zao...
Pia kumbuka Mbu amesema huyu wa sasa wako mbali mbali, that also could be one of the reason Tuko. But I totally agree with your reasoning, kuwa inawezekana mdada amefunga madirisha na kuziba flames kwa huyu wa sasa! Yaani mnanifanya nitamani kumjua huyu mkaka wa watu nami nije na the other side lol.
Shem hili suala si la wanawake bali ni la huyu mdada, irudie kuisoma mara tatu hii sred ya Mbu utagundua kwamba huyu mdada hajaamua kumove on na najua kinachomzuia zuia, kuna kitu hakijaandikwa lakini amini nakwambia there is a big secret behind abusive men (hii tunajua malawyer tu na ni against code of conduct kuihubiri)
tuendelee na mdahalo

Loh hebu nijikusanye nirudi kwenye mstari, tatizo la sie tuloajiriwa TAMWA na TGNP ndo hivyo tena lol
...tatizo lako upo too emotional...kwenye friji una mvinyo gani leo...
unahitaji glass bana...
haya sasa, ushaanza kuu personalize mdahalo huu nawewe...khaaa?
simamia zile hoja zako, Tuko na kidonge cha malaria hawakuwapo ulipomtoa nduki
MTM kwa hoja za nguvu... huoni hata Lizzy kafunga tela sasa kwako?
hehehe Mkuu Mbu msimamo wangu uko pale pale wa juzi, hapa natoa ushauri kwa jinsi ninavyomsoma huyu mdada. Na hata ukiisoma hiyo post yangu utagundua kwamba nimeigawa katika "right decision" na "right advice" (yaani specific kwa huyu mdada), huyu mdada kitu cha kwanza kinachomshushia credit yake ni kuangalia na kuasses anakotoka otherwise uniambie kwamba yeye ndio alikuwa sababu ya break up ya relationships zake za nyuma.
....lol...wakili maarufu, mimi nakurejesha tamko lako la juzi...ambalo lilikugharimu fegi pakiti nzima!
hebu tafadhali rejea tena lile tamko kabla sijakwenda kukunukuu kule kwenye "the more mistake one is doing in life, the more smater one will become in life!"
Acha msikhara yako Mbu bana! ukiipembua pembua lugha kidogo tu utagundua siri iliofichikana na ni siri inayokubalika hata kisaikolojia.
...kiukweli ningependa kujua hiyo siri aisee...khaaa? misukule!
hehehe Mkuu Mbu msimamo wangu uko pale pale wa juzi, hapa natoa ushauri kwa jinsi ninavyomsoma huyu mdada. Na hata ukiisoma hiyo post yangu utagundua kwamba nimeigawa katika "right decision" na "right advice" (yaani specific kwa huyu mdada), huyu mdada kitu cha kwanza kinachomshushia credit yake ni kuangalia na kuasses anakotoka otherwise uniambie kwamba yeye ndio alikuwa sababu ya break up ya relationships zake za nyuma.
Halaf kuna kila dalili akimalizana na huyo namba 3 namba 4 utakuwa wewe heheeh (MJ1 usisome hapa)
unajua kadri ninavyojifunza kuhusu women na relationships
naanza kuhisi sisi ambao sio 'abusive'
kuna kitu tuna miss.......
inawezekana 'a perfect man lazima awe abusive'
indo maana women huwa wanarudi kwa hao guys....
inawezekana we think we know but we dont....
Pia kumbuka Mbu amesema huyu wa sasa wako mbali mbali, that also could be one of the reason Tuko. But I totally agree with your reasoning, kuwa inawezekana mdada amefunga madirisha na kuziba flames kwa huyu wa sasa! Yaani mnanifanya nitamani kumjua huyu mkaka wa watu nami nije na the other side lol.
Acha msikhara yako Mbu bana! ukiipembua pembua lugha kidogo tu utagundua siri iliofichikana na ni siri inayokubalika hata kisaikolojia.
Here comes The Boss,
mimi natafautiana na wewe kidogo tu, A perfect man sio lazima awe abusive lakini almost all abusive men naturally wana something very worthy kwa women life and behaviour. Yep I said it.