.
- hivi sasa, yupo kwenye mahusiano yasiyozidi mwaka mmoja na partner mpya.. ambaye yupo ok,...sio angel wala devil...
Mj1 hebu anagalia hizo quotes mbili za Mbu hapa. Kwanza yupo na huyu wa sasa, almost mwaka, pili katika mahusiano yasiyokuwa seriaz kama wale wa mwanzo...
Kuniambia kwamba hamjui vizuri, kwa almost mwaka mzima... nashindwa kujizuia kuguna Mmh... Hapa nahisi hamjui kwa sababu 'mahusiano sio siriaz kiviile'.... (Mbu quoted).
Na nahisi mahusiano sio kiviile, sio kwa sababu ya mda 'mfupi', bali kwa sababu huyu wa sasa 'is short of some tastes' ukilinganisha na wale wa zamani. Hizi tastes zinaweza kuwa vitu tofauti... mshiko (wadada masipinge kuwa hamvutiwi na fweza), handsomeness (very little), uchangamfu (ya, an added advantage), n.k... lakini kubwa inawezekana hawa wa mwanzo walipendwa zaidi kwa sababu walionyesha uanaume wao more briliantly, na usishangae aliuona kupitia ngumi zao...