Maamuzi magumu...!

Maamuzi magumu...!

Nyumaaaz geuka MJ1...

Karatasi za wengine zinasomeka "Mapenzi na mahusiano is the sweetiest and happiest ingredients of life" Nahisi hiyo karatasi yako umeigeuza up side down...
Back to topic please...

Hahahahah Tuko we niache tu mie nahic moyo ushakufa ganzi mwenzenu ah!! lol nasubiri miujiza!

Back to the Topi please
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
No doubt hapo Kloro...
Mtu akibisha ni sawa na kusema carot sio carot ni matango!!!

....wakili maarufu, nice to see you back!

pamoja na mapungufu hayo, sidhani kama ni sahihi
kumtwanga sindano penye jipu la makalio!

van persie acha ende zake bana, hahaha!...

Right decision

Huyo mdada alitakiwa kustick na huyu watatu na kuachana na memories za exes wake kwavile tayari aliamua kwa hiyari yake kumove on regardless kwamba wa sasa ni better au ni worse, ni bora kuongeza wa nne kuliko kumrejea ex ambae umemdefine mwenyewe kuwa abusive.

Right advice kwa mdada
Huyu mdada Moyo wake hauko tayari kumove on na for sure na ni zaidi ya guarantee kwamba huyo mdada ataendelea tu na ex/es wake, hivyo narejea tena, ushauri wangu ni mdada afuate moyo wake na kwakuwa huyu mkaka wa tatu huu mtanange haumuhusu basi ni vyema akadecide baina ya exes wake wawili ili tuepushe kumvictimise na huyu bishanga ambae hajui hata kinachoendelea.
 
Hahahhaha Lizzy mydia we acha tu......mie siku hizi ninayatizama mahusiano kwa jicho lingine kabisa! Yaani kama na darasani ningekuwa makini hivi, mbona ningerushwa madarasa!! lakini pamoja na kukazana kukodoa macho bado mapenzi na mahusiano ni another headache my sweetie.

Mbu si kwamba unaikweza hii ishu ni nzito mydia yaani bora usingeahidi jibu jumatatu!!! na hivi hao wenzetu wana yale ya ............But you promised........ utabana ngenge.

Dah....ni kama bahari vile. Ukiwa ufukweni unaona imetulia na kuamua kwenda kuogelea....ukifanikiwa kumaliza bila kusumbuliwa na mawimbi unaamua kuSail kidogo then unashangazwa katikati!!!

Hahahaha....alafu hapa MMU mbona hawasahihishi hii mitihani bana???Ingebidi tuwe tunapewa marks alafu wamonite na maendeleo/ukuaji wetu kimahusiano!!!lolz

.....lizzy unacheka? lol...kuna wadada wanaenda shitaki waume zao wanawanyanyasa...hawataki wapikiwe, wafuliwe, wakoshewe vyombo, wala kutandikiwa kitanda....yaani mke anajiona ananyanyasika kufanywa malkia ndani ya nyumba yake !

....wakili maarufu, nice to see you back!

pamoja na mapungufu hayo, sidhani kama ni sahihi
kumtwanga sindano penye jipu la makalio!

van persie acha ende zake bana, hahaha!...

Hahahahah....Mbu kumridhisha mwanadamu ni kazi jamani!!!Waweza kumpenda akakuchukia kwa hilo....akaenda kwingine akachukiwa na yeye akapenda kwa hilo!!!
 
Right decision

Huyo mdada alitakiwa kustick na huyu watatu na kuachana na memories za exes wake kwavile tayari aliamua kwa hiyari yake kumove on regardless kwamba wa sasa ni better au ni worse, ni bora kuongeza wa nne kuliko kumrejea ex ambae umemdefine mwenyewe kuwa abusive.

Right advice kwa mdada
Huyu mdada Moyo wake hauko tayari kumove on na for sure na ni zaidi ya guarantee kwamba huyo mdada ataendelea tu na ex/es wake, hivyo narejea tena, ushauri wangu ni mdada afuate moyo wake na kwakuwa huyu mkaka wa tatu huu mtanange haumuhusu basi ni vyema akadecide baina ya exes wake wawili ili tuepushe kumvictimise na huyu bishanga ambae hajui hata kinachoendelea.
Loh Shemeji, aksante! Hii pst yako imenifanya nijiulize mengi sana hapa..................so Its a given kuwa huyu mdada hata akiamua kuwa na huyu wa tatu, ataendelea tu na hawa Exes? Hivi ni kweli kuwa wanawake tuko irrational kiasi hiki?? dah!
 
Hili sredi nashindwa kulichangia kwakuwa Mbu kafanya makusudi akalitoa Jumamosi wakati anajua ntakuwa nimeshautwika mtungi.

I'll be back........On Monday!!
sio kwamba kwa kuwa we ni chelsii na simba sc?
 
juggler.jpg
.

- hivi sasa, yupo kwenye mahusiano
yasiyozidi mwaka mmoja na partner mpya.. ambaye yupo ok,...sio angel wala devil...

...anawafahamu vizuri sana hao walitangulia kuliko aliyenaye sasa...

mapenzi ambayo sio serious kivile kama hao waliotangulia.

Tuko mpaka hapa tuko pamoja. Tunatakiwa kuweza kuangalia pande zote mbili kama maabuser na mavictims.

Hili la kuwa[enda hawa wengine kuliko huyu wa sasa ninali doubt kwa sababu kuu mbili
- kwa maelezo ya Mbu ni kuwa kama ataamua kurudi atarudi kwa kuwa anarudi kwa Zimwi limjualo na si kuwa anampenda/wapenda kuliko
- Pengine huyu dada hajui nini maana ya kupenda na kama alivyoelezea Lizzy hajawezatofautisha kupendwa na kutakwa

Mj1 hebu anagalia hizo quotes mbili za Mbu hapa. Kwanza yupo na huyu wa sasa, almost mwaka, pili katika mahusiano yasiyokuwa seriaz kama wale wa mwanzo...

Kuniambia kwamba hamjui vizuri, kwa almost mwaka mzima... nashindwa kujizuia kuguna Mmh... Hapa nahisi hamjui kwa sababu 'mahusiano sio siriaz kiviile'.... (Mbu quoted).

Na nahisi mahusiano sio kiviile, sio kwa sababu ya mda 'mfupi', bali kwa sababu huyu wa sasa 'is short of some tastes' ukilinganisha na wale wa zamani. Hizi tastes zinaweza kuwa vitu tofauti... mshiko (wadada masipinge kuwa hamvutiwi na fweza), handsomeness (very little), uchangamfu (ya, an added advantage), n.k... lakini kubwa inawezekana hawa wa mwanzo walipendwa zaidi kwa sababu walionyesha uanaume wao more briliantly, na usishangae aliuona kupitia ngumi zao...
 
Loh Shemeji, aksante! Hii pst yako imenifanya nijiulize mengi sana hapa..................so Its a given kuwa huyu mdada hata akiamua kuwa na huyu wa tatu, ataendelea tu na hawa Exes? Hivi ni kweli kuwa wanawake tuko irrational kiasi hiki?? dah!
Shem hili suala si la wanawake bali ni la huyu mdada, irudie kuisoma mara tatu hii sred ya Mbu utagundua kwamba huyu mdada hajaamua kumove on na najua kinachomzuia zuia, kuna kitu hakijaandikwa lakini amini nakwambia there is a big secret behind abusive men (hii tunajua malawyer tu na ni against code of conduct kuihubiri)
tuendelee na mdahalo
 
Hahahahah Tuko we niache tu mie nahic moyo ushakufa ganzi mwenzenu ah!! lol nasubiri miujiza!

Back to the Topi please

...tatizo lako upo too emotional...kwenye friji una mvinyo gani leo...
unahitaji glass bana...

Right decision

Huyo mdada alitakiwa kustick na huyu watatu na kuachana na memories za exes wake kwavile tayari aliamua kwa hiyari yake kumove on regardless kwamba wa sasa ni better au ni worse, ni bora kuongeza wa nne kuliko kumrejea ex ambae umemdefine mwenyewe kuwa abusive.

Right advice kwa mdada
Huyu mdada Moyo wake hauko tayari kumove on na for sure na ni zaidi ya guarantee kwamba huyo mdada ataendelea tu na ex/es wake, hivyo narejea tena, ushauri wangu ni mdada afuate moyo wake na kwakuwa huyu mkaka wa tatu huu mtanange haumuhusu basi ni vyema akadecide baina ya exes wake wawili ili tuepushe kumvictimise na huyu bishanga ambae hajui hata kinachoendelea.

....lol...wakili maarufu, mimi nakurejesha tamko lako la juzi...ambalo lilikugharimu fegi pakiti nzima!
hebu tafadhali rejea tena lile tamko kabla sijakwenda kukunukuu kule kwenye "the more mistake one is doing in life, the more smater one will become in life!"

Loh Shemeji, aksante! Hii pst yako imenifanya nijiulize mengi sana hapa..................so Its a given kuwa huyu mdada hata akiamua kuwa na huyu wa tatu, ataendelea tu na hawa Exes? Hivi ni kweli kuwa wanawake tuko irrational kiasi hiki?? dah!

haya sasa, ushaanza kuu personalize mdahalo huu nawewe...khaaa?
simamia zile hoja zako, Tuko na kidonge cha malaria hawakuwapo ulipomtoa nduki
MTM kwa hoja za nguvu... huoni hata Lizzy kafunga tela sasa kwako?
 
juggler.jpg
.

- hivi sasa, yupo kwenye mahusiano
yasiyozidi mwaka mmoja na partner mpya.. ambaye yupo ok,...sio angel wala devil...

Mj1 hebu anagalia hizo quotes mbili za Mbu hapa. Kwanza yupo na huyu wa sasa, almost mwaka, pili katika mahusiano yasiyokuwa seriaz kama wale wa mwanzo...

Kuniambia kwamba hamjui vizuri, kwa almost mwaka mzima... nashindwa kujizuia kuguna Mmh... Hapa nahisi hamjui kwa sababu 'mahusiano sio siriaz kiviile'.... (Mbu quoted).

Na nahisi mahusiano sio kiviile, sio kwa sababu ya mda 'mfupi', bali kwa sababu huyu wa sasa 'is short of some tastes' ukilinganisha na wale wa zamani. Hizi tastes zinaweza kuwa vitu tofauti... mshiko (wadada masipinge kuwa hamvutiwi na fweza), handsomeness (very little), uchangamfu (ya, an added advantage), n.k... lakini kubwa inawezekana hawa wa mwanzo walipendwa zaidi kwa sababu walionyesha uanaume wao more briliantly, na usishangae aliuona kupitia ngumi zao...

Pia kumbuka Mbu amesema huyu wa sasa wako mbali mbali, that also could be one of the reason Tuko. But I totally agree with your reasoning, kuwa inawezekana mdada amefunga madirisha na kuziba flames kwa huyu wa sasa! Yaani mnanifanya nitamani kumjua huyu mkaka wa watu nami nije na the other side lol.
 
Hahahaha....alafu hapa MMU mbona hawasahihishi hii mitihani bana???Ingebidi tuwe tunapewa marks alafu wamonite na maendeleo/ukuaji wetu kimahusiano!!!lolz

[/QUOTE]

Ha ha ha haaa... Siriazly mi nahisi MMU imenibadilisha sana kwenye performance yangu ya makea na malove kwa ujumla... at least kwa kuangalia kuwa siku hizi complements kutoka kwa my wife zimeongezeka...
 
Shem hili suala si la wanawake bali ni la huyu mdada, irudie kuisoma mara tatu hii sred ya Mbu utagundua kwamba huyu mdada hajaamua kumove on na najua kinachomzuia zuia, kuna kitu hakijaandikwa lakini amini nakwambia there is a big secret behind abusive men (hii tunajua malawyer tu na ni against code of conduct kuihubiri)
tuendelee na mdahalo

...kiukweli ningependa kujua hiyo siri aisee...khaaa? misukule!
 
Shem hili suala si la wanawake bali ni la huyu mdada, irudie kuisoma mara tatu hii sred ya Mbu utagundua kwamba huyu mdada hajaamua kumove on na najua kinachomzuia zuia, kuna kitu hakijaandikwa lakini amini nakwambia there is a big secret behind abusive men (hii tunajua malawyer tu na ni against code of conduct kuihubiri)
tuendelee na mdahalo

...tatizo lako upo too emotional...kwenye friji una mvinyo gani leo...
unahitaji glass bana...

haya sasa, ushaanza kuu personalize mdahalo huu nawewe...khaaa?
simamia zile hoja zako, Tuko na kidonge cha malaria hawakuwapo ulipomtoa nduki
MTM kwa hoja za nguvu... huoni hata Lizzy kafunga tela sasa kwako?
Loh hebu nijikusanye nirudi kwenye mstari, tatizo la sie tuloajiriwa TAMWA na TGNP ndo hivyo tena lol
 
....lol...wakili maarufu, mimi nakurejesha tamko lako la juzi...ambalo lilikugharimu fegi pakiti nzima!
hebu tafadhali rejea tena lile tamko kabla sijakwenda kukunukuu kule kwenye "the more mistake one is doing in life, the more smater one will become in life!"
hehehe Mkuu Mbu msimamo wangu uko pale pale wa juzi, hapa natoa ushauri kwa jinsi ninavyomsoma huyu mdada. Na hata ukiisoma hiyo post yangu utagundua kwamba nimeigawa katika "right decision" na "right advice" (yaani specific kwa huyu mdada), huyu mdada kitu cha kwanza kinachomshushia credit yake ni kuangalia na kuasses anakotoka otherwise uniambie kwamba yeye ndio alikuwa sababu ya break up ya relationships zake za nyuma.

Halaf kuna kila dalili akimalizana na huyo namba 3 namba 4 utakuwa wewe heheeh (MJ1 usisome hapa)
 
unajua kadri ninavyojifunza kuhusu women na relationships
naanza kuhisi sisi ambao sio 'abusive'
kuna kitu tuna miss.......

inawezekana 'a perfect man lazima awe abusive'
indo maana women huwa wanarudi kwa hao guys....

inawezekana we think we know but we dont....
 
....hahahahahah!...
haya bana, ushaniona mie ndio 'a shoulder to cry on' ee?...
 
unajua kadri ninavyojifunza kuhusu women na relationships
naanza kuhisi sisi ambao sio 'abusive'
kuna kitu tuna miss.......

inawezekana 'a perfect man lazima awe abusive'
indo maana women huwa wanarudi kwa hao guys....

inawezekana we think we know but we dont....

Here comes The Boss,
mimi natafautiana na wewe kidogo tu, A perfect man sio lazima awe abusive lakini almost all abusive men naturally wana something very worthy kwa women life and behaviour. Yep I said it.
 
Mbu mi nimechoka sasa....
Yaliyosema yote ingependeza kweli dada akayaona na kuyatafakari ila kwasababu huwezi kumprintia thread zime asome embu ipaste kwenye google translator alafu umpe maana ukimtafsiria mwenyewe utamnyima uhondo....hatakiwi kukosa hata nukta!!!
 
Pia kumbuka Mbu amesema huyu wa sasa wako mbali mbali, that also could be one of the reason Tuko. But I totally agree with your reasoning, kuwa inawezekana mdada amefunga madirisha na kuziba flames kwa huyu wa sasa! Yaani mnanifanya nitamani kumjua huyu mkaka wa watu nami nije na the other side lol.

...genius at work! mwj1 wewe...hahahah!

Acha msikhara yako Mbu bana! ukiipembua pembua lugha kidogo tu utagundua siri iliofichikana na ni siri inayokubalika hata kisaikolojia.

Here comes The Boss,
mimi natafautiana na wewe kidogo tu, A perfect man sio lazima awe abusive lakini almost all abusive men naturally wana something very worthy kwa women life and behaviour. Yep I said it.

...khaaa, umenikumbusha ile thread ati mke anakung'utwa kisha analalwa hapo hapo na manundu yake...pheeeewwwww!
---ati great sex, poooooh! rapists!---
 
unajua kadri ninavyojifunza kuhusu women na relationships
naanza kuhisi sisi ambao sio 'abusive'
kuna kitu tuna miss.......

inawezekana 'a perfect man lazima awe abusive'
indo maana women huwa wanarudi kwa hao guys....

inawezekana we think we know but we dont....

I think not....
A perfect man is one that knows how to deal with his woman.
Hao wanyanyaswaji hua wanarudiwa kwa hofu...kutokujitambua...kutojijali...mazoea!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom