Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Mkuu ,Mwalimu Gani huyo anayekamata 200M after 500 yrs,tatizo watu wako poorly informed,sawa mishahara ya watumishi wa umma ni kidogo lakini si kwa kiwango cha kushindwa kukamatwa 200M for life.Footballer - 1 week = 200Million
Teacher - 500 years = 200Million
Doctor - 50 years = 200Million
Politician - 15 Minutes = 200Million
Drug dealer - 1 day = 200Million
Thief - 20 Minutes = 200Million
Decision is yours
Hizi kwa sasa ndio nna uwezo wa kuzifanyaDrug dealer - 1 day = 200Million
Thief - 20 Minutes = 200Million
mwalim Kama ataweza kusave 500k kwa Kila mwezi, itamchukua miaka 33 kufikia kiwango hicho Cha pesaHapo kwa mwalimu mbona miaka mingi Sana, au sifuri moja imejiongeza kimakosa..?
Una mpunja mbona πssh - 5years = 20B
Binti wa zamani chagua moja hapa tuifanye Kati ya Thief au Drug dealer au PoliticianFootballer - 1 week = 200Million
Teacher - 500 years = 200Million
Doctor - 50 years = 200Million
Politician - 15 Minutes = 200Million
Drug dealer - 1 day = 200Million
Thief - 20 Minutes = 200Million
Decision is yours
nimesahau sifuri mojaUna mpunja mbona π
Nimeelewa kwa nini Binti wa zamani ananenepa nanihiiHizi kwa sasa ndio nna uwezo wa kuzifanya
Tuifanye au uifanye wewe halafu mahesabu unaleta kwangu, nakupangia matumizi πBinti wa zamani chagua moja hapa tuifanye Kati ya Thief au Drug dealer au Politician
Tulia ticha.Mkuu ,Mwalimu Gani huyo anayekamata 200M after 500 yrs,tatizo watu wako poorly informed,sawa mishahara ya watumishi wa umma ni kidogo lakini si kwa kiwango cha kushindwa kukamatwa 200M for life.
Mfano Mimi hapa hiyo 200M naikamata ndani ya miaka 10, Tena inazidi pakubwa,sasa hapa sijajua unaongelea walimu wepi
primary schoolsMkuu ,Mwalimu Gani huyo anayekamata 200M after 500 yrs,tatizo watu wako poorly informed,sawa mishahara ya watumishi wa umma ni kidogo lakini si kwa kiwango cha kushindwa kukamatwa 200M for life.
Mfano Mimi hapa hiyo 200M naikamata ndani ya miaka 10, Tena inazidi pakubwa,sasa hapa sijajua unaongelea walimu wepi
Ishi humo, mpare wa mimi anaenda kuiba niendelee kunawiri πππNimeelewa kwa nini Binti wa zamani ananenepa nanihii
Mkuu Hata Mimi ni primary school teacher,acha kukalili wewe,Kuna walimu wako primary lakini wanawazidi walio sekondari,mishahara ya gavoo hulipwa na hupanda kulingana na muda wako wa utumishi,Mimi nilianza ajira na mshahara wa 90Kprimary schools
Hili bila kuhusisha wanasiasa hutoboiWeapon Deal 1 contena = 50B