Maamuzi ni yako, msije sema sikuwaambia

Maamuzi ni yako, msije sema sikuwaambia

Uzuri Binti wa zamani ana kazi yake,wazee na watoto wakilala anaingia mzigoni mpaka kukuche.
Emmy wangu, bado hujasema vizuri 😅
200.gif
 
Footballer 200M per week labda top leagues in Europe, lakini kwa kibongo bongo hamna hio labda zile top teams ndo angalau wanajitahidi kidogo
 
Mkuu ,Mwalimu Gani huyo anayekamata 200M after 500 yrs,tatizo watu wako poorly informed,sawa mishahara ya watumishi wa umma ni kidogo lakini si kwa kiwango cha kushindwa kukamatwa 200M for life.

Mfano Mimi hapa hiyo 200M naikamata ndani ya miaka 10, Tena inazidi pakubwa,sasa hapa sijajua unaongelea walimu wepi
Hiyo milioni 200 unayoipata kwenye biashara ndani ya miaka 10 inatoka kwenye mshahara pekee au kwenye mshahara pamoja na vyanzo vingine.

Nimeuliza tu.
 
Kila mtu ashinde mechi zake, lakini mwisho wa siku mtoa riziki ni Mungu pekee, akiamua hata hiyo 1B anakupa ndani ya dakika tu.
 
Hiyo milioni 200 unayoipata kwenye biashara ndani ya miaka 10 inatoka kwenye mshahara pekee au kwenye mshahara pamoja na vyanzo vingine.

Nimeuliza tu.
Mshahara tu,watu wanapaswa kujua kuwa mwalimu anaweza pokea hadi 3M kwa mwezi,ndo maana Mimi nikiona mtu anasema walimu mishahara yao midogo Huwa nashangaa.

Kinachokwamisha walimu ni kukosa marupuru tu,ila mishahara yao ni mikubwa sana
 
Footballer - 1 week = 200Million
Teacher - 500 years = 200Million
Doctor - 50 years = 200Million
Politician - 15 Minutes = 200Million
Drug dealer - 1 day = 200Million
Thief - 20 Minutes = 200Million

Decision is yours
Mmmm
 
Kupata Hela nyingi inategemea wewe akili yako.mfano Kuna walimu wanamiliki hadi shule hasa hapa Dar es salaam.Vilevile unaweza kuwa unalipwa pesa nyingi lakini maendeleo yako binafsi ikawa changamoto.
 
Back
Top Bottom