Maamuzi ni yako, msije sema sikuwaambia

Footballer 200M per week labda top leagues in Europe, lakini kwa kibongo bongo hamna hio labda zile top teams ndo angalau wanajitahidi kidogo
 
Hiyo milioni 200 unayoipata kwenye biashara ndani ya miaka 10 inatoka kwenye mshahara pekee au kwenye mshahara pamoja na vyanzo vingine.

Nimeuliza tu.
 
Kila mtu ashinde mechi zake, lakini mwisho wa siku mtoa riziki ni Mungu pekee, akiamua hata hiyo 1B anakupa ndani ya dakika tu.
 
Hiyo milioni 200 unayoipata kwenye biashara ndani ya miaka 10 inatoka kwenye mshahara pekee au kwenye mshahara pamoja na vyanzo vingine.

Nimeuliza tu.
Mshahara tu,watu wanapaswa kujua kuwa mwalimu anaweza pokea hadi 3M kwa mwezi,ndo maana Mimi nikiona mtu anasema walimu mishahara yao midogo Huwa nashangaa.

Kinachokwamisha walimu ni kukosa marupuru tu,ila mishahara yao ni mikubwa sana
 
Footballer - 1 week = 200Million
Teacher - 500 years = 200Million
Doctor - 50 years = 200Million
Politician - 15 Minutes = 200Million
Drug dealer - 1 day = 200Million
Thief - 20 Minutes = 200Million

Decision is yours
Mmmm
 
Kupata Hela nyingi inategemea wewe akili yako.mfano Kuna walimu wanamiliki hadi shule hasa hapa Dar es salaam.Vilevile unaweza kuwa unalipwa pesa nyingi lakini maendeleo yako binafsi ikawa changamoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ