ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
Hii comment imenipa nguvu sana, amani ya bwana iwe nawe.Maamuzi ya kijasiri ya Magufuli wacha yaigharimu nchi hayo mapesa, hatuwezi kukaa na mikataba ya hovyo yenye unyonyaji kwa taifa, huku walafi wachache walioingia wakifaidi 10% halafu nije kumlaumu Magufuli aliyeivunja, Never.
Wacha tudaiwe lakini heshima yetu iwepo, mbona deni la taifa lenyewe kila siku linaongezeka, tumeshazoea kuishi kwa madeni, wacha ibaki hivyo.
Kwangu Magufuli kwenye hili ni genius, naamini iko siku, hata huu wa Samia na DPW yake nao utavunjwa, wakati huo Samia akiwa amelala kaburini na laana.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app