Maamuzi ya Hayati Magufuli yaigharimu Tanzania zaidi ya Bilioni 266

Hii comment imenipa nguvu sana, amani ya bwana iwe nawe.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Maamuzi ya magufuli yalikuwa sahihi maana kampuni ilikiuka masharti.ilikiuka haina faida yeyote kwa nchi.kwa kuwa kwa sasa tuna rais dhaifu ameelekeza kampuni ishinde ili aonekane magufuli ni mbaya.
 
Sawa mgodi ukirudishwa kwa umma nani alipe hizo hii amount? Je unaakika gani kama huu godi hatapewa mtu mwingine kwa mkataba mbovu zaidi ya huu uliovunjwa?
Nyie mpoje? Sasa akipewa mwingine kwa mkataba mbovu inamhusu nini Magufuli? Yeye alishatimiza wajibu wake, nyie shauri yenu.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Maamuzi ya magufuli yalikuwa sahihi maana kampuni ilikiuka masharti.ilikiuka haina faida yeyote kwa nchi.kwa kuwa kwa sasa tuna rais dhaifu ameelekeza kampuni ishinde ili aonekane magufuli ni mbaya.
bado hadi leo unaamini hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…