mazojms
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,623
- 2,535
Mdada y ar u so obsessed with men,, wats up with all these "we" statements?? Binadamu wanatofautiana tena sana, usiwe unachukulia kila mtu kama hao unao kutananao huko[emoji2][emoji2]. Sometimes t pisses me off[emoji52]No woman wants to dominate a man but let me ask you something so you want to tell me that you men are comfortable with the way you are treating us women?
Jinsi mnavyowanyanyasa, mnavyowasaliti, msivyowajali na msivyowahudumia wake zenu mnaona ni sawa tu na pia mnaona kama ni lazima wao kutakiwa kuwasamehe na kuwavumilia ikiwa ninyi wanaume hamuwezi kuwavumilia wala kuwasamehe wake zenu kwa makosa yao?