Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Achana nae vijana wa insta hao bado hawajaanza na kujua lifeHow old are you bro??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nae vijana wa insta hao bado hawajaanza na kujua lifeHow old are you bro??
Hata sana mkuuAchana nae vijana wa insta hao bado hawajaanza na kujua life
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwanamke ni mwanamke mpumbavu kama ulikuwa hujui habari ndo hiyo,mzee wako amekula hasara
Iko wapi kauli ya "Nendeni mkaijaze dunia"?Wote wawili ingawa mimi napenda wawili Sitaki mke wangu achoke sababu ya kuzaa , outing nitatoka na Nani[emoji3][emoji3].SI wengine tunapenda sifa unatoka outing na mwanamke yupo in shape anavutia sifa na pata Mimi kidume...
Mke wa jamaa ni mashine safiiiiiiii ndo nataka hivyo[emoji23][emoji23][emoji23], heshima.
I will get the number of kids I want with you, or without you! In my world, I make the money, i make the rule.......
Mkuu, tunatakiwa tuzae haswaUmemaliza kilakitu