Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Yeah si ndio hao 8 au???Mshauri mkuu si ndiyo pamoja na kushauriana idadi ya watoto tutakao zaa?
Huyo hawezi kupambana na magazeti yake.Mbona unaomba backup? Hebu tulia ujibu maswali.
Usijali nipo kwa ajili ya hilo.Ukija basi pitia bank please nina kimeo cha maana my dia. Please usisahau
Nshamjibu, akileta ligi na mimi ntampelekea ile ile.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usikimbie, hebu jibu maswali.
Yeah anajibugi ki biblia zaidi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saint ni mama wa upako, amemeza Biblia kabisa.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hahahahahahah anashushaga magazeti ya haja.
Tena huu Uzi ukipoa poa na Saint anne atakuja kusema jambo kibiblia zaidi.
Usijali Dada, nikisha solve la Mr " I make the money and I make the rule" [emoji23][emoji23]nitakuja na kwako.@cute b nami nataka hela.
YamekwishaaaaaaaaaaHapana, wewe uliniambia nisitegemee hela mwanamke ni mwanamke tuu. Sasa ndiyo nashangaa unanirudisha kule kwenye kuamini kwamba money can buy everything.[emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto nane? [emoji23][emoji23].Yeah si ndio hao 8 au???
Hahahhahahahha asante kwa kunisikiliza.Nshamjibu, akileta ligi na mimi ntampelekea ile ile.
Kama sio wewe kuniambia nisiwe vile vya zamani nisingemuacha huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaaggghhhh! Kwa kweli nishajitolea kushindwa arguments zote between mimi na yeyeHuyo hawezi kupambana na magazeti yake.
Kwa sababu ana hasira za karibu.[emoji23][emoji23]
Unamkimbia hadi huyu? Haujui wewe ni miongoni mwa wana jf anawakubali?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo ndio sitaki hata kukaaaa
πππππUsijali nipo kwa ajili ya hilo.
Problem solved.
Sasa conclusion ni ipi?Yamekwishaaaaaaaaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamani unaninanga kinomaaaaaUsijali Dada, nikisha solve la Mr " I make the money and I make the rule" [emoji23][emoji23]nitakuja na kwako.
Relief Mirzska
Then I will.....Watoto nane? [emoji23][emoji23].
Labda kama kila nikizaa unaninunulia "jeep".