Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
- Thread starter
- #181
Vizuri.Maamuzi ni ya pamoja.... Binafsi nilikuwa nataka wanne, lakini mwenzangu alitaka wawili ... Tukafikia watatu na ndo tunao
Na sijui kwanini mara nyingi wanaume ndio huwa wanahitaji idadi kubwa ya watoto[emoji1745][emoji1745]