Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

huyo mwanamke mimi ningemkubalia maamuzi yake endapa kama anafanya kila kitu kinachopaswa kufanywa na baba... hapo sawa.
 
Wa kwangu mimi anataka sita tu,Ila bahati nzuri Sana kalenda zinamchanganya,nimejipanga kutia mimba kwa kuvizia tu,mwezi jana nilivizia sikufanikiwa nasubiri mwezi huu nataka saba
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Tatizo tukishabeba ujauzito tunakula tu bila mpangilio wowote na tukijifungua ni mitori na supu kwa kwenda mbele, lazima tunenepeane.
Bad dieting, hivi wachaga nani alisema mtori ndio chakula cha mzazi tu jamani halafu ikawa kama SI Unit ya walojifungua wote 😂😂😂
 
Hivi kumbe huwa anamwaga maneno[emoji134][emoji134]
Sijawahi kumfumania, huwa namuona mpole kama 4G LTE wangu kumbe tofauti[emoji134]
Weeeee , Mimi nimechambwa sijui kusutwa juzi sina hamu Dada.
Bora upigwe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hana upole wowote. Kwanza unanishangaza unavyosema unamuona ni mpole[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabisa hata hupati stress, na ukihitaji zaidi unavuka boda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaahhhh
 
Tatizo tukishabeba ujauzito tunakula tu bila mpangilio wowote na tukijifungua ni mitori na supu kwa kwenda mbele, lazima tunenepeane.
Umenikumbusha rafiki yangu wa kichaga maandalizi ya kujifungua ni mafuta ya kula lita 40 na vitu vingine[emoji134][emoji134]
Hadi ugali unawekwa mafuta, alitoka uzazi anatembea kama roboti.
 
Wanajf kuna jambo limenifanya niilete hii mada kwenu.

Kuna kaka alihitaji na alipendelea kuwa na watoto watatu, na walikubaliana na mkewe wawe na watoto watatu Mungu akiwajaalia.
Baada ya mkewe kujifungua mtoto wa pili akamwambia mumewe asingeweza kwenda leba tena(alijifungua kwa njia ya kawaida na hakukuwa na complications zozote).

Mume alihisi ni kwavile ametoka kujifungua ndio maana anasema hivyo, lakini baada ya miaka mi4 kupita bado msimamo wa mkewe ni uleule, amemwambia ikiwa ni lazima apate huyo mtoto wa tatu anamruhusu kwa roho safi tu akamtafute.

Naomba kuwauliza haswa wanandoa, maamuzi ya idadi ya watoto mnaohitaji kuwa nao huwa ni ya nani? And how if kila mmoja akawa na idadi yake ya watoto anaohitaji inayotofautiana na mwenzie?

Na wanawake utafanya nini ikiwa mumeo anahitaji idadi kubwa ya watoto tofauti na matakwa yako?
Mkuu hata mimi imenikuta now nina watoto wawili ingawa wapili bado anamiez 4, lakin mwenzangu hataki tuongeze mwingine mbeleni, nasubiri akinipa go ahead nikaongeze nje, mi bado nahitaji 1 au 2 zaid
 
Back
Top Bottom