Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

huyo mwanamke mimi ningemkubalia maamuzi yake endapa kama anafanya kila kitu kinachopaswa kufanywa na baba... hapo sawa.
[emoji849][emoji849][emoji849]
Nilikuwa nasubiri mawazo yako kwa hamu kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weeeee , Mimi nimechambwa sijui kusutwa juzi sina hamu Dada.
Bora upigwe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hana upole wowote. Kwanza unanishangaza unavyosema unamuona ni mpole[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi kumfuma akimwaga cheche ujue. Nilianza kumfahamu kwenye zile nyuzi zake za rafiki yake alokuwa hataki kusafiri, nikamuona mpole, kumbe sio?[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Huwa napata ukakasi nikiwaza mtu kama Mengi RIP Mengi amekuwaje na watoto ambao hata hawajazi Noah.

Au Aliko Dangote utakuta ana vichwa viwili tu. Watoto ni raha sana hasa kuwa nao wengi jamani.
Nadhani pia na uzazi unachangia au malengo .
Maana matajiri wengi huwa wana watoto wachache sana. Sasa sijui ndiyo siri ya utajiri.

Lakini sie akina nanilii watoto tunajaza Kimbinyiko na bado hata kuwasomesha , chakula mavazi na malazi hatuwezi.
 
Umenikumbusha rafiki yangu wa kichaga maandalizi ya kujifungua ni mafuta ya kula lita 40 na vitu vingine[emoji134][emoji134]
Hadi ugali unawekwa mafuta, alitoka uzazi anatembea kama roboti.
😂😂😂😂😂 hebu taften mbadala basi
 
Mkuu hata mimi imenikuta now nina watoto wawili ingawa wapili bado anamiez 4, lakin mwenzangu hataki tuongeze mwingine mbeleni, nasubiri akinipa go ahead nikaongeze nje, mi bado nahitaji 1 au 2 zaid
Kwanini usikubaliane nae muishie hapo hapo?
 
Huwa napata ukakasi nikiwaza mtu kama Mengi RIP Mengi amekuwaje na watoto ambao hata hawajazi Noah.

Au Aliko Dangote utakuta ana vichwa viwili tu. Watoto ni raha sana hasa kuwa nao wengi jamani.
Wenye pesa wengi huwa hawazai sana sijui kwanini? Njo kwetu wenzangu na mie sasa[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Mungu mwenyewe
Uko sahihi kabisa idadi ya watoto watu wanayopata ni Mungu ndo anayeipanga maana kuna watu wanapanga kuzaa watoto wawili lakini katika tendo wanajikuta mimba nyingine zinaingia na hawawezi kutoa hivyo wanaendelea kuzaa tena pia kuna watu mimba nyingi wanazopata zinatoka wanajikuta katika mimba sita walizopata nne zimetoka na mbili ndo zimekubali kuzaliwa

Na kuna watu wanapanga wazae watoto nane lakini wanapata wanne au pungufu halafu vizazi vinapata matatizo na wanashindwa kuendelea kuzaa tena au pia wanaweza kuzaa hao watoto nane kama walivyopanga lakini wawili au zaidi wanakufa wakiwa wadogo kwahiyo hata mimi naona ni Mungu ndo anayepanga maana kila mtu anazaliwa na kusudi lake hapa duniani
 
Back
Top Bottom