Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Maamuzi ni ya pamoja.... Binafsi nilikuwa nataka wanne, lakini mwenzangu alitaka wawili ... Tukafikia watatu na ndo tunao
Vizuri.

Na sijui kwanini mara nyingi wanaume ndio huwa wanahitaji idadi kubwa ya watoto[emoji1745][emoji1745]
 
Yeah anajibugi ki biblia zaidi.

Kwani 4G LTE hajaona huu Uzi Dada ? Au hii mada haiwahusu wanaume wa Mpakani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wa mpakani tuwasamehe tu mama maana hata huyo mmoja ni shughuli hivyo maamuzi wanayo wanawake.
 
Wote wawili ingawa mimi napenda wawili Sitaki mke wangu achoke sababu ya kuzaa , outing nitatoka na Nani[emoji3][emoji3].SI wengine tunapenda sifa unatoka outing na mwanamke yupo in shape anavutia sifa na pata Mimi kidume...

Mke wa jamaa ni mashine safiiiiiiii ndo nataka hivyo[emoji23][emoji23][emoji23], heshima.
Kuzaa kunamfanya mwanamke achoke Mkuu??

Sidhani, mwanamke akiwa na nidhamu ya kula na mazoezi toka akiwa na mimba mpaka kujifungua hata azae watoto 4 shape inabaki pale pale.
 
Uzuri kipenzi changu Khantwe ameshakubali tuunde kikosi kazi basi halina shida hilo. Mwendo utakuwa kupishanisha mwaka mwaka ili machalii waende sawa.

Babu alipiga 6, mzee 4 mimi niishie 2? Ukoo umepungua sana Haitafaa!!! Nitaongeza 6 wawe 8 tu hamna namna.
@khantwe huyuhuyu wa Kaboom[emoji134][emoji134]
Sasa atawazalia wangapi?
 
Back
Top Bottom