Maamuzi ya kesi ndogo katika Kesi ya Mbowe na Wenzake kutolewa Oktoba 19, 2021

Nilichojifunza kupitia kesi hii ni

1.kuwa Ujaji si kazi rahisi,inahitaji umakini na active mind muda wote!
2.Jambo jingine ni kuwa jeshi la polisi wanafanya kazi kama wapo juu ya sheria!
3.Mawakili wa serikali sio vilaza ila wanapewa mazingira magumu ya kufanya kazi yao mpaka wanaonekana watupu vichwani!Kutetea uovu si kazi rahisi,mwenye urahisi ni yule ambaye yupo upande wa haki japo wakati mwingine competence ya wakili inaweza kufanya haki kupatikana kwa ugumu!
 
Samia ameishi kwenye uovu kwa miaka mitano. Ameuishi uovu kwa miaka 5. Ameufurahia uovu kwa miaka mitano. Hata akitaka kutoka, hawezi kutoka ghafla kwa 100%. Ni lazima ile roho ya uovu itaendelea kuwa ndani yake.

Hata pale anapokuwa na dhamira ya kutenda mema, kuna wakati atatumia uzoefu alio nao, ambao ni uovu.

Kwa hiyo kwenye hili kuna mkono wake na ile roho ya uovu aliyoiishi kwa miaka 5.
 
P
haya ni maneno ya faraja sana toka kwa Jaji, Ubarikiwe Jaji kwa kumtia nguvu shahidi, maana wamama huwa wana majonzi sana - anaweza kuanza kulia na kushindwa kutamka neno lolote lile
Pamoja na pongez kwa Jaj, ata huyu mama amekuwa jasiri. Yaan ushahid wa uongo na wa ukweli ni haraka kuwatambua...
 
Yeye Kama Raisi na Kama mama mzazi, na Kama mke mwenye kuwa na watoto...

Sijui kwakeli ushahidi wa huyu mwanamke mwenzake alioutoa leo, anajisikiaje????

Naamin Atasikia huruma sana. Mumeo apotee, uanze kumtafuta adi mochwale, mizunguko yote hela ya Nauli ikuiishie, hapo hapo nyumbani umeacha mtoto mdogo.... Kwakwel apa Mungu mwenye haki asimame tu.
 
Siro na Samia walikosea sana kujitokeza hadharani na kuizungumzia hii kesi kua ushahidi upo,. Sijui walijiona akina nani kwamba watanzania na ulimwengu mzima unaweza kuhamini kauli zao, ona wanavyoumbuka


Unamkamata unaficha taarifa zake wakati ana familia, mke mtoto,wazazi kaka na eadogo zake, bado unaenda kwake unasachi bila yeye kuwepo u aondoka na hati ya nyumba pamoja na kadi ya pikipiki,. Bado mateso mliyompa, hati na kadi ya pikipiki havijulikani vilipo,

Bahati mbaya mtoto augue apoteze maisha kwa kukosa gharama za kulipia huduma, mke afariki kwa msongo wa mawazo, mwisho wa kesi adamoo aachiwe kwa kuonekana hana hatia, aisee

Akina Hamza mnawatengeneza wenyewe wakifanya tukio mnawatukana mpaka wazazi wao kua wana uzao wa hovyoo
 
Kazi IPO..Mimi binafsi yangu nauona ukweli kuwa hawa mabwana wametungiwa KESI.. Hakika kuna watu hawana hofu ya Mungu kabisa.
 
Nilikutambua toka siku ya kwanza nilipokusoma humu JF, kuwa kati ya 'GTs' waliosalia JF.
Ni fikra chache zilizobaki zinazoendelea kuibeba JF kubaki 'relevant.'
 
LOoooh, mkuu umefanya 'summary' inayohudhunisha sana!

'Mama Mizinguo' kwenye hotuba yake kule UNGA anasifu uwepo wa utawala bora nchini mwake. Ni kama anaizungumzia nchi ambayo yeye haijui ipoje!
 
Huyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Kama wewe ni mtoto wa mcheuko wa Mzee Aikaeli na hukuambulia urithi kutoka kwake mlaumu mamako Kwa kushangilia mshedede na kusahau kuomba urithi wako Kwa Mzee! Vinginevyo, endelea kupiga miayo na yowe but huna utakachoambulia kwani akili zako ni za urithi kutoka Kwa mamako
 
Siri gani watu wanatupwa angetupwa mjomba ako ungesema mambo ya siri za Nchi ni kikundi cha watu wachache wameharibu taswaira ya Taifa wacha watu wajue ikiwezekana wachukuliwe hatua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…