Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Kwa hiyo Samia kwanini asitoe amri ya kufutwa hii case?Unajaribu kumlaumu nani? Raisi samia eti?
Kwa taarifa yako hawa watu walifanyiwa huu unyama wakati wa mwendazake. Na ujue,serikalini watu wa mwendazake wamejaa,hususani kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. Na hii kesi ni initiative yao,siyo ya raisi samia.
Hivi ni nani alisema kule BBC kuwa watuhumiwa wengine wa hii case walisha kiri makosa na kuhukumiwa?
Angekuwa haitaki hii case angeifuta toka mwanzo wakati Mbowe ana kamatwa.
Lazima tukubali hii case imechangiwa sana na vugu vugu la katiba mpya.....
Hii case ina ushawishi wa Rais aliyeko madarakani wala usitetee....