Maamuzi ya kikao cha wanaume: Namna ya kupambana na moto

Bila kusahau fire extinguisher muwe mnatembea nazo kabisa[emoji1787]
 
5. Kuwe na ndoo za maji chumbani kwa ajili ya kuloweka blanketi.

6. Kuwe na emergency exit ya siri kwa ajili ya familia tu
 
Nilijua ungeshauri watu wapunguze hasira na visasi
Hilo suala ni gumu hasira hazikwepeki.. Unakuta mtu ana michepuko kadhaa, ila akija kugundua mpnz wake anamsaliti moyo unauma, hapo kwenye moyo kuuma ndio matokeo yanatofautiana kutegemea na mtu jinsi gani anaweza kukabiliana na hali ile(kusema na moyo wake)
 
Ila mimi nadhani Ile first experience ndiyo mbaya sana, ukiivuka hiyo salama sidhani kama utashindwa kuhandle yatakayotukia in future
 
Hamna kutegemea na uwezo wa mtu wa kukabiliana na tatizo.
 
Bila kusahau fire extinguisher muwe mnatembea nazo kabisa[emoji1787]

255622839783_status_c97d3d15f2d44b4e9d343648ff64840e.jpg
 
Back
Top Bottom