Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kusahau kuepuka ufadhili feki wa pombe ukitumiwa pesa na demu ulewa nenda kamhonge demu mwingine hamna kulewa.Kufuatia wanaume kushambuliwa kila kona na hatari, hasa hili suala la moto. Kikao cha mwisho ilikubalika mtaalamu atoe somo namna
Hahahaaaa ndio muache hizo tabia zinazosababisha mnachomwa moto
😂😂😂nyudo ni muhimu sasaKufuatia wanaume kushambuliwa kila kona na hatari, hasa hili suala la moto. Kikao cha mwisho ilikubalika mtaalamu atoe somo namna ya kujilinda na moto unapotokea.
1. Hatua ya kwanza ni kwenda low- kutambaa na tumbo au magoti ili kuepusha kuishiwa hewa ya oksijeni kwenye mfumo wa hewa.
2. Hatua ya pili ni kumiliki nyundo kubwa na sururu ili kuvunja mlango na ukuta.
3. Hatua ya Tatu ni Kuwa na blanket kubwa unaloweza kuliloweka na kujifunika.
4. Ila silaha kubwa kuliko yote ni kutokupanic ili ufanye upembuzi yakinifu kwa umakini zaidi.
Nawasilisha.
NB: mnaweza kuwasilisha mbinu zaidi.
ErcaBila kusahau fire extinguisher muwe mnatembea nazo kabisa[emoji1787]
Jana na leo[emoji7]Erca
[emoji1] mambo jmnJana na leo[emoji7]
[emoji23][emoji23]
Poa mzima ww?[emoji1] mambo jmn
Asante Sanaa [emoji120][emoji120]Me sijambo...
Nimewiwa kukusalimia tu mtoto mzuri....