Duh umenikumbusha nishaelewa ndo hivo ndo tunashukuru na kusepaSiku hizi ni petrol na kiberiti
Pale inapokua mapenzi yameisha mnayalazimisha yaendeleeMmeamua kutugeuzia kibao.
Tukitulia home tunachomwa, tukitoka tunapigana risasi.
Hilo suala ni gumu hasira hazikwepeki.. Unakuta mtu ana michepuko kadhaa, ila akija kugundua mpnz wake anamsaliti moyo unauma, hapo kwenye moyo kuuma ndio matokeo yanatofautiana kutegemea na mtu jinsi gani anaweza kukabiliana na hali ile(kusema na moyo wake)Nilijua ungeshauri watu wapunguze hasira na visasi
Ila mimi nadhani Ile first experience ndiyo mbaya sana, ukiivuka hiyo salama sidhani kama utashindwa kuhandle yatakayotukia in futureHilo suala ni gumu hasira hazikwepeki.. Unakuta mtu ana michepuko kadhaa, ila akija kugundua mpnz wake anamsaliti moyo unauma, hapo kwenye moyo kuuma ndio matokeo yanatofautiana kutegemea na mtu jinsi gani anaweza kukabiliana na hali ile(kusema na moyo wake)
Hamna kutegemea na uwezo wa mtu wa kukabiliana na tatizo.Ila mimi nadhani Ile first experience ndiyo mbaya sana, ukiivuka hiyo salama sidhani kama utashindwa kuhandle yatakayotukia in future