Maamuzi ya kisiasa yasiyozingatia maslahi ya wananchi: Bulgaria ni mfano halisi, yaachana na gesi rahisi na kugeukia gesi ya bei kubwa!

Maamuzi ya kisiasa yasiyozingatia maslahi ya wananchi: Bulgaria ni mfano halisi, yaachana na gesi rahisi na kugeukia gesi ya bei kubwa!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Huwezi kuwaelewa wanasiasa! Jana Bulgaria iliamua kuachana na gesi toka urusi ambayo kimsingi ina bei ndogo na kuamua kutumia gesi toka Azerbaijan ambayo kimsingi inauzwa kwa bei ya juu zaidi.

Kisa tu ni kuwa haikubali kulipa kwa ruble! Hawajali kuwabebesha mzigo mkubwa zaidi wananchi wao ili maadamu tu kuwafurahisha mabeberu!
 
Huwezi kuwaelewa wanasiasa! Jana Bulgaria iliamua kuachana na gesi toka urusi ambayo kimsingi ina bei ndogo na kuamua kutumia gesi toka Azerbaijan ambayo kimsingi inauzwa kwa bei ya juu zaidi. Kisa tu ni kuwa haikubali kulipa kwa ruble! Hawajali kuwabebesha mzigo mkubwa zaidi wananchi wao ili maadamu tu kuwafurahisha mabeberu!
Maamuzi ya MTU, lazima yaeshimiwe. Kwani Kula MTU anamaamuzi anunue kwa bei juu au chini
 
Huwezi kuwaelewa wanasiasa! Jana Bulgaria iliamua kuachana na gesi toka urusi ambayo kimsingi ina bei ndogo na kuamua kutumia gesi toka Azerbaijan ambayo kimsingi inauzwa kwa bei ya juu zaidi. Kisa tu ni kuwa haikubali kulipa kwa ruble! Hawajali kuwabebesha mzigo mkubwa zaidi wananchi wao ili maadamu tu kuwafurahisha mabeberu!
Muda wa kuparulana kati ya waongozwa na waongozwaji unakaribia
 
Huwezi kuwaelewa wanasiasa! Jana Bulgaria iliamua kuachana na gesi toka urusi ambayo kimsingi ina bei ndogo na kuamua kutumia gesi toka Azerbaijan ambayo kimsingi inauzwa kwa bei ya juu zaidi. Kisa tu ni kuwa haikubali kulipa kwa ruble! Hawajali kuwabebesha mzigo mkubwa zaidi wananchi wao ili maadamu tu kuwafurahisha mabeberu!
Hufuatilii

Serikali za Ulaya zi ta subsidize difference ili kuuachana na gesi ya urusi
Hufuatilii vyombo vya habari

Bulgaria ikiwa mojawapo.
Nchi za Magharibi zinapigana na Urusi sio ki silaha tu na kifedha pia bajeti zimetengwa ili wananchi wao waendelee kupata gesi kwa bei rahisi kwa ku top up ruzuku
 
Nchi pekee iliyosema itasubsitize ni Uingereza. Hata huko kusubsitize bado ni kodi ya wananchi inatumika maana hizo pesa hazitoki mbinguni.

Halafu usichokijua ni kuwa tatizo la msingi si bei kuwa kubwa bali hata hiyo gesi haitoshi ukiachana na gesi ya Urusi. Nchi ya Norway ambayo ndiyo inaifuatia Urusi kwa kuuza gesi ulaya imesema haina buwezo wa kufidia pengo litakaloachwa na gesi ya Urusi.

Ndiyo maana hata kabla siku poland na bulgaria wameanza kilio.
 
Nchi pekee iliyosema itasubsitize ni Uingereza. Hata huko kusubsitize bado ni kodi ya wananchi inatumika maana hizo pesa hazitoki mbinguni...
Poland said it's prepared to obtain gas from various directions, including through gas connections on its western and southern borders and the liquefied natural gas terminal (LNG) in the northwest port city of Swinoujscie.
 
Kinachoshangaza ni kuwa Poland na Bulgaria wanataka walipie gesi kwa Euro katika namna ambayo urusi haitapata kitu, badala ya kulipia gesi kwa Euro hiyo hiyo lakini kwa namna ambayo Urusi itazipata kama Ruble!

Kwa mfumo wa zamani wanunuzi wa gesi hulipia kwa Euro au dola katika akaunti za urusi zilizoko mataifa ya ulaya na marekani lakini ambazo kwa sasa zimewekewa vikwazo. Kwa sasa zinaweza kupokea tu na si kutoa!! Sasa Poland na Bulgaria wanataka walipie hizo Euro zao kwenye akaunti zilizowekewa vikwazo ili Urusi isiweze kuzitumia!

Wana nafasi ya kulipia kwa Euro hizo hizo lakini itabidi wafungue akaunti kwenye Guzprombank ambako Euro zao zitabadilishwa na hiyo benki (wala siyo wao) kuwa ruble, kisha hiyo ruble kutumika kununulia hiyo gesi.

Kwa mfumo huu wa sasa japo mnunuzi atatumia Euro au Dola, lakini mtoa gesi atapokea ruble na hivyo kuruhusu gesi itoke. Kwa hiyo kinachowauma Poland na Bulgaria ni kuwa Urusi itakuwa imekivuka kikwazo cha nchi za magharibi klwa kuendelea kupokea malipo ya gesi yake badala ya malipo hayo kuwa yamezuiwa!!
 
Poland said it's prepared to obtain gas from various directions, including through gas connections on its western and southern borders and the liquefied natural gas terminal (LNG) in the northwest port city of Swinoujscie.
Hayo ni maneno ambayo utekelezaji wake si endelevu kwa sasa. Ukiondoa gesi ya Urusi, gesi inayobaki sokono haitoshelezi mahitaji!!!
 
Hufuatilii

Serikali za Ulaya zi ta subsidize difference ili kuuachana na gesi ya urusi
Hufuatilii vyombo vya habari

Bulgaria ikiwa mojawapo.
Nchi za Magharibi zinapigana na Urusi sio ki silaha tu na kifedha pia bajeti zimetengwa ili wananchi wao waendelee kupata gesi kwa bei rahisi kwa ku top up ruzuku
Time will tell ...
 
Si walikuwa wanamuona putin shujaa kisa amelazimisha gas yake inunuliwe kwa ruble? Wakasema hakuna taifa litagoma kununua gas kqa rubble ila yote yatatii matakwa ya Russia. Kuna watu hawajui nguvu ya US ktk uchumi, kadri siku ziendavyo taratibu wataelewa.
 
Poland said it's prepared to obtain gas from various directions, including through gas connections on its western and southern borders and the liquefied natural gas terminal (LNG) in the northwest port city of Swinoujscie.

Kuonesha kuwa hayo yalikuwa ni maneno tu tofauti na uhalisia, Poland wameamua kuongeza kiasi cha gesi wanachochukuaga kutokea Ujerumani!! Sasa ujue Ujerumani hupata gesi yake toka Urusi halafu na yenyewe inawauzia majirani wanaohitaji. Kwa maneno mengine hawajaweza kuachana na gesi ya urusi.

Ujerumani yeye ataendelea kutumia gei ya urusi kwa masharti ya sasa ya kulipia ruble. Na huwa anaagiza zaidi ya mahitaji yake na ziada anawagawia majirani kwa bei aliyoongeza cha juu!!

Kiasi cha gesi aliyokuwa anapata poland toka Ujerumani ameomba apewe mara tano zaidi!! Na atalipia zaidi maana Ujerumani huweka cha juu maana hiyo ni biashara!! Ushahidi huu hapa, kama huijui lugha ya malikia mwombe mtu akutafisirie!!

Poland ramps up reverse gas supplies from Germany​

Russia’s Gazprom closed taps after Warsaw refused to pay for deliveries in rubles
Poland ramps up reverse gas supplies from Germany

Poland on Wednesday significantly raised its bid for reverse gas supplies from Germany after Russia halted deliveries due to Warsaw’s refusal to pay for the commodity in rubles, data from the German operator of the gas transmission network Gascade shows.

According to the company, the bid for April 27 was 1.232 million cubic meters per hour, while the day before it was just 237 thousand cubic meters.

Kwa hiyo kwa maneno mengine Poland ataendelea kununua gesi ya Urusi kwa kuitumia Ujerumani kama wakala!! Atalipa kwa ujerumani kwa bei kubwa zaidi kwa gesi hiyo hiyo anayojifanya kuikataa sasa bna Urusi itakula pesa zake kwa kuzipokea toka kwa Ujerumani. Hapo Polands ni mjanja au?
 
Hawa jaacha bali Urusi yenye ndio imeikatia gesi .
Imeikatia baada ya wao kukataa kulipia gesi hiyo kwa utaratibu wa sasa. Wanataka waendelee kulipia kwa utaratibu wa zamani. Pitia post zangu hapo juu uelewe utaretibu wa zamani ukoje na utaratibu wa sasa ukoje na kwa nini Urusi haiutaki tena utaratibu wa zamani wa malipo!!
 
Huwezi kuwaelewa wanasiasa! Jana Bulgaria iliamua kuachana na gesi toka urusi ambayo kimsingi ina bei ndogo na kuamua kutumia gesi toka Azerbaijan ambayo kimsingi inauzwa kwa bei ya juu zaidi. Kisa tu ni kuwa haikubali kulipa kwa ruble! Hawajali kuwabebesha mzigo mkubwa zaidi wananchi wao ili maadamu tu kuwafurahisha mabeberu!
Haya mambo yapo dunia nzima , muhindi ndio mtu pekee ambaye hawezi kuacha cha rahisi kisa siasa
 
Nishati ya urusi haikwepeki kwa sasa,wanachofanya hao wanasiasa sasahivi ni sawa na kugomea msosi mzuri wakati una njaa at last unajiumiza mwenyewe...wajifunze kwa india,india toka operation ianze ameshanunu mafuta ya bei chee ya urusi zaidi ya mapima milioni 30 licha ya beberu marekani kumshawishi hayaditch,na hiyo ni zaidi ya mara 2 ya mapipa aliyonunua mwaka jana....
 
Si walikuwa wanamuona putin shujaa kisa amelazimisha gas yake inunuliwe kwa ruble? Wakasema hakuna taifa litagoma kununua gas kqa rubble ila yote yatatii matakwa ya Russia. Kuna watu hawajui nguvu ya US ktk uchumi, kadri siku ziendavyo taratibu wataelewa.
Watu wajinga watakwisha kweli duniani?,eti nguvu ya kiuchumi ya USA,,Marekani ananunua urussi?
 
Back
Top Bottom