mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Maamuzi ya MTU, lazima yaeshimiwe. Kwani Kula MTU anamaamuzi anunue kwa bei juu au chiniHuwezi kuwaelewa wanasiasa! Jana Bulgaria iliamua kuachana na gesi toka urusi ambayo kimsingi ina bei ndogo na kuamua kutumia gesi toka Azerbaijan ambayo kimsingi inauzwa kwa bei ya juu zaidi. Kisa tu ni kuwa haikubali kulipa kwa ruble! Hawajali kuwabebesha mzigo mkubwa zaidi wananchi wao ili maadamu tu kuwafurahisha mabeberu!
Muda wa kuparulana kati ya waongozwa na waongozwaji unakaribiaHuwezi kuwaelewa wanasiasa! Jana Bulgaria iliamua kuachana na gesi toka urusi ambayo kimsingi ina bei ndogo na kuamua kutumia gesi toka Azerbaijan ambayo kimsingi inauzwa kwa bei ya juu zaidi. Kisa tu ni kuwa haikubali kulipa kwa ruble! Hawajali kuwabebesha mzigo mkubwa zaidi wananchi wao ili maadamu tu kuwafurahisha mabeberu!
HufuatiliiHuwezi kuwaelewa wanasiasa! Jana Bulgaria iliamua kuachana na gesi toka urusi ambayo kimsingi ina bei ndogo na kuamua kutumia gesi toka Azerbaijan ambayo kimsingi inauzwa kwa bei ya juu zaidi. Kisa tu ni kuwa haikubali kulipa kwa ruble! Hawajali kuwabebesha mzigo mkubwa zaidi wananchi wao ili maadamu tu kuwafurahisha mabeberu!
Hufuatilii
Serikali za Ulaya zi ta subsidize difference ili kuuachana na gesi ya urusi
Hufuatilii vyombo vya habari
Bulgaria ikiwa mojawapo.
Nchi za Magharibi zinapigana na Urusi sio ki silaha tu na kifedha pia bajeti zimetengwa ili wananchi wao waendelee kupata gesi kwa bei rahisi kwa ku top up ruzuku
Poland said it's prepared to obtain gas from various directions, including through gas connections on its western and southern borders and the liquefied natural gas terminal (LNG) in the northwest port city of Swinoujscie.Nchi pekee iliyosema itasubsitize ni Uingereza. Hata huko kusubsitize bado ni kodi ya wananchi inatumika maana hizo pesa hazitoki mbinguni...
Hayo ni maneno ambayo utekelezaji wake si endelevu kwa sasa. Ukiondoa gesi ya Urusi, gesi inayobaki sokono haitoshelezi mahitaji!!!Poland said it's prepared to obtain gas from various directions, including through gas connections on its western and southern borders and the liquefied natural gas terminal (LNG) in the northwest port city of Swinoujscie.
Time will tell ...Hufuatilii
Serikali za Ulaya zi ta subsidize difference ili kuuachana na gesi ya urusi
Hufuatilii vyombo vya habari
Bulgaria ikiwa mojawapo.
Nchi za Magharibi zinapigana na Urusi sio ki silaha tu na kifedha pia bajeti zimetengwa ili wananchi wao waendelee kupata gesi kwa bei rahisi kwa ku top up ruzuku
Si walikuwa wanamuona putin shujaa kisa amelazimisha gas yake inunuliwe kwa ruble? Wakasema hakuna taifa litagoma kununua gas kqa rubble ila yote yatatii matakwa ya Russia. Kuna watu hawajui nguvu ya US ktk uchumi, kadri siku ziendavyo taratibu wataelewa.Hufuatilii
Serikali za Ulaya zi ta subsidize difference ili kuuachana na gesi ya urusi
Hufuatilii vyombo vya habari
Bulgaria ikiwa mojawapo.
Nchi za Magharibi zinapigana na Urusi sio ki silaha tu na kifedha pia bajeti zimetengwa ili wananchi wao waendelee kupata gesi kwa bei rahisi kwa ku top up ruzuku
Poland said it's prepared to obtain gas from various directions, including through gas connections on its western and southern borders and the liquefied natural gas terminal (LNG) in the northwest port city of Swinoujscie.
Imeikatia baada ya wao kukataa kulipia gesi hiyo kwa utaratibu wa sasa. Wanataka waendelee kulipia kwa utaratibu wa zamani. Pitia post zangu hapo juu uelewe utaretibu wa zamani ukoje na utaratibu wa sasa ukoje na kwa nini Urusi haiutaki tena utaratibu wa zamani wa malipo!!Hawa jaacha bali Urusi yenye ndio imeikatia gesi .
Haya mambo yapo dunia nzima , muhindi ndio mtu pekee ambaye hawezi kuacha cha rahisi kisa siasaHuwezi kuwaelewa wanasiasa! Jana Bulgaria iliamua kuachana na gesi toka urusi ambayo kimsingi ina bei ndogo na kuamua kutumia gesi toka Azerbaijan ambayo kimsingi inauzwa kwa bei ya juu zaidi. Kisa tu ni kuwa haikubali kulipa kwa ruble! Hawajali kuwabebesha mzigo mkubwa zaidi wananchi wao ili maadamu tu kuwafurahisha mabeberu!
Watu wajinga watakwisha kweli duniani?,eti nguvu ya kiuchumi ya USA,,Marekani ananunua urussi?Si walikuwa wanamuona putin shujaa kisa amelazimisha gas yake inunuliwe kwa ruble? Wakasema hakuna taifa litagoma kununua gas kqa rubble ila yote yatatii matakwa ya Russia. Kuna watu hawajui nguvu ya US ktk uchumi, kadri siku ziendavyo taratibu wataelewa.