Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Mkuu Misri hatuendi tena, tulishapigwa 3-0, hiyo mechi ilikuwa ni ya mzunguko wa mwisho. Nasikitika hii mechi ya mwisho tumefungwa mabao rahisi sana.Hata angekuwapo nani kipigo ni palepale, mpaka muache usimba na uyanga na muanzishe vyuo vya michezo kwa hivyo tuvumilie tu na tuombe kisago huko misri kisizidi mabao 5-0