Kwa sasa hakuna kinachoendelea nchini, viwanja vya ndege vimefungwa, bandari imefungwa, mtaani watu biashara zimesimama, huduma za ki bank nazo zimesitishwa (kwa sasa huwezi kufanya muamala wowote iwe kwa simu au bank).
Kufika kesho maamuzi yanatakiwa yawe yamefanyika na nchi irudi kwenye normal status quo ili maisha mengine yaendelee.