Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Hood bado zipo? Sina hamu nazo nilikuwa natoka Moro Arusha nafika saa 5 za usiku, lazima bus liharibike njiani.Umenikumbusha Hood za Arusha kila siku wanawafaulishia kwa mshindani wake
Hata sijaziona siku za hivi karibuni, ina huwa naona ofisi yao na mabaki ya mabasi yao pale MorogoroHivi Hood bado zipo? Sina hamu nazo nilikuwa natoka Moro Arusha nafika saa 5 za usiku, lazima bus liharibike njiani.
Siku nyingi sijayaona
Jana nimepanda basi moja na kuku.
Kama ambavyo sikuelewi hapo kwenye gin na spirit, [emoji481][emoji481] sawaSijui kwanini sielewagi [emoji485]! Mimi labda gin spirit au [emoji481]
Kuna hili basi jipya linaitwa Kureed Hunters, aina ya Scania Irizar wanasema ni luxury. DAR - MWANZA, Nauli ni Tshs. 55,000/=Ni wadanganyifu tu, wanajua watanzania siyo wafuatiliaji wa kujua haki zao, all in all
Luxury buses or coaches are typically used for travelling longer distances, coaches place more of an emphasis on comfort and entertainment. Coaches are often equipped with larger, more comfortable seats, whereas buses possess standard two and three-seater, bench-style seats.
Sasa wewe una panda bus ili ukanye huko? Luxury sio lazima liwe na choo.View attachment 1780996
1. Je ni hizo huduma hapo [emoji3516] au ni upya wa basi?
2. Basi la zamani lenye vigezo hivyo huu au basi lolote jipya?
Ikitokea huduma tajwa hapo ikakosekana kwenye gari na kiwango cha nauli umelipia luxury abiria anasaidiwaje au achukue hatua gani?.
SUMATRA wanatumia kigezo gani kugawa haya madaraja?
Wajuvi tusaidiane hapo[emoji3516]
Itakuwa ulipanda mabus ya kwenda upareni mkuuJana nimepanda basi moja na kuku.
Luxury yenyewe yenye sifa halisi ya Luxury nauli yaweza kwenda hata mara 2 au 3 ya hapo, yapo very comfortable in terms of seat configuration and flexibility, nimesafiri na mabasi mengi ndani na nje ya nchi ila sijaona luxury bus hapa kwetu.Kuna hili basi jipya linaitwa Kureed Hunters, aina ya Scania Irizar wanasema ni luxury. DAR - MWANZA, Nauli ni Tshs. 55,000/=
Jana nimepanda basi moja na kuku.
hiyo semi luxury mkuuJana nimepanda basi moja na kuku.
Nilikuwa naelekea jimboni kwa Ndugai Speaker wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.Ulikuwa unaenda kigoma?
Sio yote. Route ya arusha Kuna basi sitalitaja namba linapitia chalinze vip ni seat 4 za mbele 45,000, Nyuma ni kawaida na nauli ni 33,000Unazungumzia BM la kwenda Moro ndo lipo hivyo, na halina choo. Arusha Dar ni VIP basi zima.
SUMATRA IS CURRENTLY LATRA.View attachment 1780996
1. Je ni hizo huduma hapo ☝️ au ni upya wa basi?
2. Basi la zamani lenye vigezo hivyo huu au basi lolote jipya?
Ikitokea huduma tajwa hapo ikakosekana kwenye gari na kiwango cha nauli umelipia luxury abiria anasaidiwaje au achukue hatua gani?.
SUMATRA wanatumia kigezo gani kugawa haya madaraja?
Wajuvi tusaidiane hapo☝️
hapo namba 5 hasa kwenye Super Champion yaani kuna zile muvi za kuhadithiwa na DJ kama mpira maarufu maeneo ya Tandale,Maji Matitu, au Buza , zinachosha sana....safari inakuwa ngumu mno.....ukizingatia ukikaa kwenye viti vyao unakunja miguukama upo kwenye choo cha shimoBasi za Bongo unakata tiket kuna yafuatayo yanaweza kutokea
1. seat kaka mtu mwenye tiket yenye namba hiyo hiyo .. kumbe uliponunua ww au yeye hawakujaza kwenye kitabu seat ikaonekana tupu ikauzwa.. na kama kapandia njian . mgogoro
ukiwa mkubwa akaja trafik sheria inasema jina lililopo kwenye chart ndo mwenye seat halal sasa wewe kama jina halipo unarudishuwa nauli unashuka. imagine uko katikat ya safari uanze kuunga
2 unakaa seat dirishan huna uhuru na dirish kbe unashare na wa mbele au wa nyuma.. ukifungua unafunga upande wake akifungua yeye anafunga kwako yaan kama
madirisha ya aliminium.. mpangilio wa seat hauendan na madirisha.
3. unaombwa upishe mtu akae dirishan maana ana mtoto au anaumwa anaweza kutapika
4. ukishuka kwenda kuchimba dawa beba vitu vyako
5. kwenye basi wanaweka miziki au movie kwa wanazotaka wao kwa saut kubwa bila kujali kuna mwingine ana kitabu.. hakuna control ya saut kwenye kila seat.
6. dirisha halifunguki
7. wa mbele yako kalaza seat kakubana au seat zimebana unakaa miguu umeikunja kama unafanya yoga
na mengine meengi ongezee
Nb: namba mbili imepungua kutokana na ticket za kielectronic
Imegawanyika mara 2.SUMATRA IS CURRENTLY LATRA.
Kweli Mkuu, ila naomba kujuzwa ivi ni kwanini baadhi ya bus zao (nililopanda mie enzi hizo) zilikuwa hazifunguki vioo?Hawa jamaa wasingevurugwa na wanasiasa huenda wangekuwa kwenye hizo huduma za luxury
View attachment 1781083
View attachment 1781086