Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

Afadhali ulipanda na kuku..... Kuna mengine nimeshuhudia jaa wanasafiri na mbuzi ndani ya basi. Mkishuka wote mnatoa harufu kama beberu la mbuzi au kondoo... [emoji1787]
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Umenikumbusha Hood za Arusha kila siku wanawafaulishia kwa mshindani wake
Hivi Hood bado zipo? Sina hamu nazo nilikuwa natoka Moro Arusha nafika saa 5 za usiku, lazima bus liharibike njiani.
Siku nyingi sijayaona
 
Hivi Hood bado zipo? Sina hamu nazo nilikuwa natoka Moro Arusha nafika saa 5 za usiku, lazima bus liharibike njiani.
Siku nyingi sijayaona
Hata sijaziona siku za hivi karibuni, ina huwa naona ofisi yao na mabaki ya mabasi yao pale Morogoro
 
Ndio mkuu na nitafika sijachoka, nikifika tu napata ile nyama pendwa tekenya, wine glass chache siku imeisha.
Sijui kwanini sielewagi 🍷! Mimi labda gin spirit au 🍺
 
Jana nimepanda basi moja na kuku.

je ulipanda ukiwa umebeba kuku

je ulipanda pamoja na kuku wote mkiwa abiria

au ulipanda na mtu aliebeba kuku

duh kiswahili ndo maana unaweza ukashinda kesi ukijua kucheza nacho kina loophole nyingi sana hakiko straight

by the way nimekuelewa mkuu ila nilikuwa nachangamsha baraza...
 
Basi za Bongo unakata tiket kuna yafuatayo yanaweza kutokea

1. seat kaka mtu mwenye tiket yenye namba hiyo hiyo .. kumbe uliponunua ww au yeye hawakujaza kwenye kitabu seat ikaonekana tupu ikauzwa.. na kama kapandia njian . mgogoro
ukiwa mkubwa akaja trafik sheria inasema jina lililopo kwenye chart ndo mwenye seat halal sasa wewe kama jina halipo unarudishuwa nauli unashuka. imagine uko katikat ya safari uanze kuunga

2 unakaa seat dirishan huna uhuru na dirish kbe unashare na wa mbele au wa nyuma.. ukifungua unafunga upande wake akifungua yeye anafunga kwako yaan kama
madirisha ya aliminium.. mpangilio wa seat hauendan na madirisha.

3. unaombwa upishe mtu akae dirishan maana ana mtoto au anaumwa anaweza kutapika

4. ukishuka kwenda kuchimba dawa beba vitu vyako

5. kwenye basi wanaweka miziki au movie kwa wanazotaka wao kwa saut kubwa bila kujali kuna mwingine ana kitabu.. hakuna control ya saut kwenye kila seat.

6. dirisha halifunguki

7. wa mbele yako kalaza seat kakubana au seat zimebana unakaa miguu umeikunja kama unafanya yoga

na mengine meengi ongezee

Nb: namba mbili imepungua kutokana na ticket za kielectronic
 
Kuna hili basi jipya linaitwa Kureed Hunters, aina ya Scania Irizar wanasema ni luxury. DAR - MWANZA, Nauli ni Tshs. 55,000/=
 
Sasa wewe una panda bus ili ukanye huko? Luxury sio lazima liwe na choo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hili basi jipya linaitwa Kureed Hunters, aina ya Scania Irizar wanasema ni luxury. DAR - MWANZA, Nauli ni Tshs. 55,000/=
Luxury yenyewe yenye sifa halisi ya Luxury nauli yaweza kwenda hata mara 2 au 3 ya hapo, yapo very comfortable in terms of seat configuration and flexibility, nimesafiri na mabasi mengi ndani na nje ya nchi ila sijaona luxury bus hapa kwetu.
 
SUMATRA IS CURRENTLY LATRA.
 
hapo namba 5 hasa kwenye Super Champion yaani kuna zile muvi za kuhadithiwa na DJ kama mpira maarufu maeneo ya Tandale,Maji Matitu, au Buza , zinachosha sana....safari inakuwa ngumu mno.....ukizingatia ukikaa kwenye viti vyao unakunja miguukama upo kwenye choo cha shimo
8. Ukipanda basi ndani kukiwa na wasukuma wawili wakianza kuongea ni makelele mwanzo mwisho.....huwezi hata kuongea na simu tena mpaka walale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…