Albaab
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 1,555
- 2,216
Sio hiyo tu, nimepata kusikia miaka ya 70's ukivaa jeans unaitwa kituo cha polisi ueleze umetoa wapi pesa ya kununua au umeipata wapi 😂Mkuu Kibosho1 kuna usemi unasema "what is luxury to you is necessary to me" sijui kama umewahi kuusikia, nilitoa mfano hapo awali nikasema kuna enzi fulani hapa nchini ilikuwa ukienda kununua radio cassette dukani unaambiwa hiyo ni anasa, ukivaa suti, miwani na tai unaambiwa unafanya anasa, ukiwa na TV na saloon car unaambiwa unafanya anasa, sasa kitu kuita anasa kinatategemeana na mtu anayekihitaji na kwa kukidhi hitaji gani