ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Mfano upo hapa hapa kwenye huu uzi ni mmoja tu aliwahi panda tahmeed na hajapanda tena mpaka leo na ni watu wawili au watatu ndio waliotoa coment kuzijua izi basi...wengi wanakimbilia bm kilimanjaro mara osaka [emoji3]Labda imefungiwa kabatini [emoji38]