Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

Maandazi, maindi ya kuchoma, mayai, biskut, sambusa, soda tatu za aina tofauti afu mtoto kanywa nusunusu kila moja, yani kitumbo kimemvimba ndii anahemea juujuu kama anataka kufa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upo sahihi kabisa, wakitaka kuziona zilivyo waende SA nadhani Botswana na Zambia
wewe ukiskia Luxury unaelewa nini kwani?,hapahapa Tanzania kuna basi zina choo ndani zina free wifi ,2 in 1 seats + VIP seats ,ina tablet kila seat , ndani mnapewa vinywaj na baadhi ya vitu vya kutafuna na zimepewa daraja la luxury, sasa wewe wataka nini tena apo.sema zipo chache mno hata kampuni zenyewe zenye luxury buses unakuta wanazo mbili au tatu tu.
 
Maandazi, maindi ya kuchoma, mayai, biskut, sambusa, soda tatu za aina tofauti afu mtoto kanywa nusunusu kila moja, yani kitumbo kimemvimba ndii anahemea juujuu kama anataka kufa.
Usiombe ukapanda mabasi yanayotokea Mwanza hao jamaa wanakula kila kinachopita machoni kwao humo ndani basi km dampo
 
wewe ukiskia Luxury unaelewa nini kwani?,hapahapa Tanzania kuna basi zina choo ndani zina free wifi ,2 in 1 seats + VIP seats ,ina tablet kila seat , ndani mnapewa vinywaj na baadhi ya vitu vya kutafuna na zimepewa daraja la luxury, sasa wewe wataka nini tena apo.sema zipo chache mno hata kampuni zenyewe zenye luxury buses unakuta wanazo mbili au tatu tu.
Alafu kampuni inaangalia faida pia, sio ilete kitu luxurious alafu wateja wawe robo ya gari sababu ya bei ghali. Na hakuna vile utashusha bei, utarudisha vipi hela ulioinunulia hilo bus? 😂
 
wewe ukiskia Luxury unaelewa nini kwani?,hapahapa Tanzania kuna basi zina choo ndani zina free wifi ,2 in 1 seats + VIP seats ,ina tablet kila seat , ndani mnapewa vinywaj na baadhi ya vitu vya kutafuna na zimepewa daraja la luxury, sasa wewe wataka nini tena apo.sema zipo chache mno hata kampuni zenyewe zenye luxury buses unakuta wanazo mbili au tatu tu.
Hakuna basi yenye huduma hizo bana, Tahmeed wako vizuri lakini free Wi-Fi hakuna,pia kwa siti ni video screen sio tablet.

Tablet bongo!!??? Hiyo basi ingefika na tablets chache sana
 
Kama ushawahi panda mabasi ya Ally's star ya kutoka dar-shy to zoo, hayo pia ni luxury
 
Back
Top Bottom