Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

Sio hiyo tu, nimepata kusikia miaka ya 70's ukivaa jeans unaitwa kituo cha polisi ueleze umetoa wapi pesa ya kununua au umeipata wapi 😂
 
Nauli zake zipoje mzee nataka nione kama ni kweli nisafiri nalo
 
Natamani mwenye picha za Luxury Tahmeed aziweke watu waelewe maana halisi

ya bus luxury,warabu wale wanajua maana ya Luxury niliwahi otea Luxury yao 2018

sijawahi panda tena bus TZ hiii yakukuta hata robo ya features zinazopatikana ndani ya lile bus

Tanzania zimejazana semi luxury zilizobatizwa U luxury,Bus zote ukiona limeandikwa DARAJA LA JUU

ujue kitu pekee kilichofanya kupewa hilo daraja ni CHOOO na si vinginevyo,ila si kwa TAHMEED aseee kina OSAMA sio asee...
 
Uzuri wa hawa Tahmeed 2×1 liko powa kimuonekano sijajua huduma za ndani
Ndugu Kwanza ishia hapo hapo tu siti 2x1 unahisi linaweza kuwa utopolo ndani?

luxury fake nyingi ni 2x2 halafu wanazibatza u luxury,Mkuu jaribu siku 1 tu kufunga macho

upande Tahmeed nakuhakikishia hautorudia kupanda bus lolote hii nchi labda route ambazo tahmeed haendi.
 
V
BM ndio anatamba na choo ila wengine Luxury ni upya na biskuti na pipi tu. Choo mkachimbe dawa au mpaka hotelini
 
Tanzania zimejazana semi luxury zilizobatizwa U luxury,Bus zote ukiona limeandikwa DARAJA LA JUU
Wameyaita ya daraja la juu kwakuwa ni ya kwao haohao wanaotoa vibali, lakini kiuhalisia siyo kabisaaaaaaaaaaa!!!
 

 




Kwa msaada wa Google, duh! Hawa jamaa nimewanyooshea mikono
 
Luxury bus ni basi lenye huduma za anasa yaani luxury. Upya wa basi sio suala la lazima. Not necessary!

Huduma za anasa ni kama vile; Wi-Fi, kiyoyozi (AC), chakula na vinywaji, runinga, kitanda cha kulala, maliwato n.k.
Ivi kuna basi lenye wi-fi kweli

Huku tz luxury iwe na choo tu ndani
 
Kibosho1 angalia ndege inayotembea ardhini The one and Only in Tanzania.

Hakuna luxury yeyote ya kukuta Tahmeed hii nchi,hiyo picha yenye tv kila seat

nilipanda siku 1 aisee nilikua natoka Dar to Nairobi ila nilihisi nimetoka Dar to Kibaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…