Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

Magari yapo sana ubungo
Shabiby, Tahmeed ya mombasa, Dar luxy ya Arusha Nk.

1.Ordinary

2.Semi-luxury

3.Luxury
Hamna gari ambalo unapewa chakula bongo! Luxury ambalo ndio top class utaambulia pipi na soda + maji! Mbali na hilo labda ni full ac ila kuhusu wifi ni utapeli wa mchana kweupe! Hakujawahi kuwa na basi lenye bando 😅😅😅!

Katika kila basi nililopanda aidha kifurushi kilikua hamna au wifi kwa ujumla haipo kabisa inategemewa simu ya konda ndio isambaze hotspot kweli? Wameshindwa kujiongeza kununua vile vi wifi dongle vya huawei kulipia hata GB100 kwa mwezi!
 
Kumpa mtu benz la bei mbaya wakati halihitaji na huku watu wanakufa kwa kukosa dawa, pia ni kumpa mtu jengo la kifahari wakati tayari ana majengo chungu mzima nchi nzima na wala hayatumii kwa lolote zaidi ya fahari
hahahahahaha kmmmmk
 
Ni wadanganyifu tu, wanajua watanzania siyo wafuatiliaji wa kujua haki zao, all in all
Luxury buses or coaches are typically used for travelling longer distances, coaches place more of an emphasis on comfort and entertainment. Coaches are often equipped with larger, more comfortable seats, whereas buses possess standard two and three-seater, bench-style seats.

Kiswahili kidogo mkuu
 
Naunga mkono hii comment, sababu hakuna bas lenye sifa zote wanazotangaza.

Ukipewa soda na biskuti TV zikiwa 3 wanasema Luxury lakini bado huduma kibao hakuna

Panda BM VIP
 
Kiswahili kidogo mkuu
Luxury buses or coaches are typically used for travelling longer distances, coaches place more of an emphasis on comfort and entertainment. Coaches are often equipped with larger, more comfortable seats, whereas buses possess standard two and three-seater, bench-style seats.

Kim Dawizzy njoo okoa jahazi hapa, mdau anataka uhondo​

 
Mnapanda mabasi au Takataka?
Huku tunasafiri na mabus wiki nzima huchoki, wifi, choo,ndani na pombe zote njiani zipo,kila baada masaa mawili mko fast food mnakula.
Hayo ndio tunaita mabus, sio umepanda Majinja we utafika safari yako ila cha moto utakiona.
 
Usikaze ubongo ndugu yangu. Hizi standards tunaziset wenyewe.
Nasema hivi luxury zipo na Latra wameshatoa leseni na magari yanafanya kazi
Hili halizingatiwi. Juzi kati baada ya kukosa magari yote sijui yalikuwa yamekodishwa kwenda wapi nimepigwa vibaya kuambiwa ni luxury nauli 33,000 Arusha Dar.
Kuingia ndani nusu nizimie basi chafu ni kama halijawahi kufanyiwa usafi, halina service yoyote..unaambiwa linaondoka saa 12 lkn linaondoka masaa matano baadae.
Nauli kila mtu kalipa tofauti..
Tupo tuliopigwa 33, wengine 25, 22 hadi.17.
Kundoka Arusha saa 2 asb kufika dar saa 5 usiku.

Osaka Express pambav zenu.
 
Back
Top Bottom