Anaandika Edo Kumwembe katika page yake ya instagram.
Namkubali huyu dada anafaa kabisa kuitwa mrembo lakini si kama wengine wanalazimisha kuwa weupe ili waitwe warembo, wengine kutoboa pua ili waitwe warembo, wengine kulazimisha kuvaa vijisketi ili waitwe warembo,mimi ili mtu aitwe mrembo ni lazima awe natural, aitumie mikorogo, avae nguo ya kiafrika gauni linalofunika mguu, mabega, shingo
asiyejitoboa pua, sikio mara mbili n.k
Black beauty! Ninyi wadada mnaojichubua mngekuwa mnajua jinsi sisi wanaume wa kweli tunavyowapenda mabinti wenye uzuri natural kamwe msingejikoboa. Baadhi yenu uso fanta, mikono coca cola, na miguu maji ya kunde !