Maana halisi ya neno mrembo

Maana halisi ya neno mrembo

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
Anaandika Edo Kumwembe katika page yake ya instagram.

Namkubali huyu dada anafaa kabisa kuitwa mrembo lakini si kama wengine wanalazimisha kuwa weupe ili waitwe warembo, wengine kutoboa pua ili waitwe warembo, wengine kulazimisha kuvaa vijisketi ili waitwe warembo,mimi ili mtu aitwe mrembo ni lazima awe natural, aitumie mikorogo, avae nguo ya kiafrika gauni linalofunika mguu, mabega, shingo
asiyejitoboa pua, sikio mara mbili n.k

kama picha isemavyo:

1476105624608.png


Maoni yenu
 
Edo na matunda ya South Africa!!! Hatareee! !![emoji122] [emoji122]
 
Mi nadhani wanawake wanatumia mkorogo na kuongeza makalio ili wawafurahishe wanaume, kwani wanaume wengi tunaonekana kupenda mkia na weupe.
 
Nimejaribu kuzoom vidole vyake.Kwa muonekano tu nimehis ni vilainiiii....
 
Back
Top Bottom