Maana halisi ya Rastafari

LUCKY DUBE "Rasta Man's Prayer"

There comes a time
In everyman's life where he's got to face
The truth no matter what.
We are coming to you father
With our sins and everything
To thank you

Those that smoke marijuana
Wanna thank you father
For making it grow internationally,
They wanna thank you lord
Even though police cut it down,
Sometimes they burn it down
But it grows again
Thank you father

[Chorus:]
We wanna thank you father
For everything you've given us

Nations that oppress other nations
Wanna thank you father
Even though it's painful to be oppressed
But they thank you...
For making them strong

Politicians thank you father
For making them to be able
To lie with a straight face
While the nation cries
They wanna thank you lord

[Chorus: till fade]

Mkuu Yericko Nyerere, lakini huyu jamaa alikua anasema rastafari sio kuvuta bangi na amewahi kusema mara nyingi tu kama urastafari ni kuvuta bangi, basi yeye sio rastafari.​
 
Last edited by a moderator:

Mkuu bangi sio kitambulisho pekee cha Rastafari,

Mimi sivuti bangi, sinywi pombe wala aina yoyote ya anasa, lakini ni muamini wa Rastafarian
 
Last edited by a moderator:

Kuwa Rastafari si lazima uvute bangi mkuu, Na Lucky Phillip Dube ni mfano mmojawapo wa Rasta asiyevuta bangi.

Ndo mana kwenye mistari ya huo wimbo wa Rastaman's Prayer, pale kwenye Marijuana ametumia kiwakilishi "those" to refer to the ones that smoke, excluding himself.

He was a true RASTA despite being Non smoker.
 
Last edited by a moderator:
Watu wengi wanadhani kuvuta bangi ndio urastafari..
 

1)....mkuu naomba ni fahamu nini maana ya kutambua uwepo wa Yesu, na mnatambua kwa level gani,

kwanini mnautumia bible katika imani yenu..?

2)....unasema rege ni sehemu ya ibada na unatumia kuwasiliana na Mungu, kwanza mungu yupi pili rege inakuunganisha vipi na mungu wakati jumbe zake zinatofautiana kuanzia za matusi, mapenzi za wanaharakati n.k ,mungu wako ni mwanaharakati..?

3)...fafanua kuhusu kipengele hiki kina muhusu nani kwa jina na kwa nini apewe vyeo hivi.. "MHESHIMU KING OF KINGS, THE LION OF JUDAH, ELECT OF GOD, RAS TAFARI MAKONEN, HAILE SELASSIE, THE POWER OF THE TRINITY, KING MESIAH FROM THE ROOT OF KING DAVID IN A SOLOMONIC LINEAGE."

4)...nanukuu .."kumwabudu Haile Selassie" so huyu ndo mungu wenu maana anaye pasa kuabudiwa ni Mungu pekee au nyie mnaabudu kila kiyu mpaka sungura...?

5)...kwetu sisi unapozungumzia bible ni agano jipya na agano la kale ndo unapata biblia so kwa nini
mnasema mnazingatimafundisho mengi ya bible na mnabagua agano jipya...? nukuu "mafundisho mengi ya bible hasa old testament"....

majibu tafadhali...
 

Kuwa Rastafari kama Kebra(Rastafari Holy Book) inavyosema ni kuwa na namna ya maisha yaliyo nyofu.
 
HAILE SELASSIE ni kiongozi wetu wa kiimani

Huyu HAILE SELASSIE alitumwa na Mungu kuanzisha hii imani au aliibuka tu?

Kama alitumwa na Mungu, ni Mungu yupi huyo aliyemtuma?

Kabla ya huyu bwana kuzaliwa ina maana hii imani ilikuwepo au haikuwepo?


Tambua uwepo wa Yesu Kristu na Mtume Mohamed SAW (japo mafundisho yao usiyafue)


Kwa hiyo Yesu Kristo na Mtume Mohamed S.A.W mnawatambua kama kina nani?

Habari zao mlipataje kuzitambua na kuziamini?

NB:
Naomba jibu lako lizingatie alert uliyoiweka kuwa mafundisho yao hamuyafuati.
 
Haile Selassie ni katika uzao wa King Solomon uko Israel(fatilia historia ya Ethiopia na Israel),tunamtambua Jesus kama massiah wa uzao wa Daudi,msikilize Alpha.
Pia reggae is abt message,hizo nyingine ni ubabylon,kupitia conscious message inakupeleka kutambua dunia,jins tunavyoishi na kwa nini na maisha ya baadae.
Haile Salassie hakuwa Mungu na alikiri mwenyewe akiwa exile yeye sio Mungu na katika maisha yake alikuwa mfuasi wa Ethiopian orthodox..
Rastafari sio kwamba hawatumii agano jipya,linatumika sana na waimbaji wengi wamelizungumzia ispokuwa wanabezi katika A.kale kutokana na iman ya uzao wa asili Haile Salassie katika a.kale kupitia King Solomon
 
hakuna tatizo kuwa ustadhi ama mchungaji na ukawa Rastafarai SheRRIF APRAIO
Tambua uwepo wa yesu na mohd lkn usifuate mafundisho yao. Hapohapo uwe ustadh au mchungaji! Sielewi uno na uno nshike upi?
 
Last edited by a moderator:
blessin Jahman...!!! huwa najiimanisha kuwa am rastaman too,japo kuwa kunabaadhi ya vifungu katika urasta sijatimiza but i need to explore deeply in this faith ineed more teaching,give us alot about Nyabingi..Jah bless
 
blessin Jahman...!!! huwa najiimanisha kuwa am rastaman too,japo kuwa kunabaadhi ya vifungu katika urasta sijatimiza but i need to explore deeply in this faith ineed more teaching,give us alot about Nyabingi..Jah bless

Karibu sana Rastaman,

Amani na upendo vitawale moyoni mwako!

Jah akubariki
 
Tambua uwepo wa yesu na mohd lkn usifuate mafundisho yao. Hapohapo uwe ustadh au mchungaji! Sielewi uno na uno nshike upi?

Nini huelewi mkuu, mbona ipo wazi kabisa?

Zingatia: Kuwa Rastafari kama Kebra(Rastafari Holy Book) inavyosema ni kuwa na namna ya maisha yaliyo nyofu
 
Mkuu kama umesoma bandiko lote kwa utulivu utaelewa kuwa Haile Selassie alichaguliwa na waamini wa Raistafari kuwa kiongozi wetu, hilo halina maana kuwa yeye ndie muanzilisha, Urasta ulikuwepo tangu Karne ya kwanza ukiwa chini ya binadamu mweusi Nimrodi mmoja ya uzao wa Nuhu,

Ukaendelea kuenezwa na falme za akina Solomoni na hadi kuingia Ethiopia na kuweka masinagogo pale, Wayahudi walipoanzisha dini yao ya uyahudi yari walikuta Urastafari upo ukiabudiwa katika Nazareti,

Warumi nao walipoivamia Yuda na kuanza kueneza utawala wao walifika mpaka Ethiopia nakukuta tayari kuna masinagogi,

Karne ya 19 urastafari ulishamiri zaidi Jamaica hasa baada ya harakati za binadamu mweusi kujikomboa kutoka utumwani
 
Mkuu bangi sio kitambulisho pekee cha Rastafari,

Mimi sivuti bangi, sinywi pombe wala aina yoyote ya anasa, lakini ni muamini wa Rastafarian

Nimekusoma mkuu.....ngoja niongezee hapo!

Fallen South African reggae icon, Lucky Dube, neither smoked nor drunk, yet he churned out hit after hit and became an icon in the continent. He is still regarded as the best live stage performer the continent has ever had, never mind that he never needed the Dutch courage. He was one of the few musicians who could jump on stage and take his audience through four hours of nonstop electrifying performances. Many people (including myself) believed Dube relied on drugs. How could one man change voice like that? How could he sing for hours without his vocal chords giving way? I used to ask myself these questions. It only took his death for the truth about the man I admired to dawn on me. Dube, when asked if he did weed being a rastaman, said: "If being a rastaman means smoking weed and drinking alcohol or doing any kinds of illicit drugs, then I am not a rastaman, but if being one means promoting humanity and helping Jah's people, then I am proudly a Rastafarian." A big statement!
 
Imani ndio kitu kinachowasumbua wanadamu walio wengi.

Na wakati mwingine kinawapotezea muda mwingi sana,

pengine hii inatokana na hofu na woga wa kifo.
 
Imani ndio kitu kinachowasumbua wanadamu walio wengi.

Na wakati mwingine kinawapotezea muda mwingi sana,

pengine hii inatokana na hofu na woga wa kifo.
Kuna makala mbalimbali zilishawahi tolewa na bwana mmoja anaitwa Munga Tehenan kwa sasa ni marehemu,zilihusu utambuzi,binadamu anaejitambua anaeishi katika misingi ya asili(The law of Nature) hawezi ogopa kifo,binadamu kwa asili anahofu na hofu hii ndio inayomsahisha anapokosea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…