Hao watu uliwasikiliza utaelewa nini na English Jamaica..... lol bora ungesema nisome lyrics za nyimbo zao... Wazungu husema huwa hawaelewi kinachoimbwa na wajamaicaMkuu rasta au bangi sio urastafarian,kawasikilize Morgan Hertage-dont haffi dread...
Mkuu Pukudu
Nashukuru kwa hizo video,
Lakini naomba nikuulize kuwa kwakupitia hizo video tu uliridhika kuwa ndio mwisho wa kufaidi urithi na maarifa ya rastafari?
ni kama rose mhando wao.Na Bobumale je?
ni kama rose mhando wao.
Nimewahi soma mahali, ati anatoka katika uzao wa daudi, hii ikoje mkuu.Ni mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana, Simba mshindi wa kabila la Judah, Most I
haile selassie alikua hali nyama? Alikua na dread? Alikua anafuata imani za kirasta?
Haile Selassie sio tu alikula nyama, hakuwa na dread wala kufuata imani nyingi za kirasta...
Bali pia alikuwa anawalisha simba wake nyama nono katika kasri lake wakati waethiopia wanakufa kwa njaa (famine).
The whole thing is a legend shrouded in an unreal need for religiosity.
Mungu ni story tu. Hata akija kwa gia ya rasta.
Hawa jamaa wanajichanganya sana.
Wanasema "jah" ni mungu na kiongozi wao Haile ni jah sasa sijui huo uungu wake ukoje?
Hii Imani niNoma nakumbuka Bob marley alikataa kukatwa mguu uliokuwa na Cancer hadi ikapanda mwilini akadanja....
Justine Kalikawe naye alikataa kumeza dawa za Hospital anang'ang'ania michicha na mboga za Majani hadi umauti ukamkuta kwa kuugua... hii Imani ni noma.... ila ni vizuri kuwa na imani kwani huwezi tenda mabaya na upole unawafanya wapate wanawake wa Kizungu kwa Urahisi sana.... mimi nilitaka niwe Rastafarian ila nywele zikakataa kufugika zikanyonyoka zote... na Bangi ndio sijawahi ivuta
We ulifuga upate wanawake wa kizungu na si kwa imani.
Haile Salassie sio Mungu alikiri mwenyewe akiwa exile,yeye ni muumini kama wengine na maisha yake yote alikuwa akisali katika madhehebu ethiopian orthodox...Hawa jamaa wanajichanganya sana.
Wanasema "jah" ni mungu na kiongozi wao Haile ni jah sasa sijui huo uungu wake ukoje?