Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Mungu hata kiama (judgement day) bado?una uhakika gani haile yuko kwa mungu?
Roho ya mtu huishi baada ya kifo,unaposema yupo kaburini inamaana roho imekufa kama mwili ulivyokufa,hukumu ni kitu kingine na kuishi ni kitu kingine..Kwa Mungu hata kiama (judgement day) bado?
Huyo yuko kaburini tu kwa sasa.
'The way of life',Upendo,Amani na Umoja hiyo ndio Rastafarian ndani ya mtu mkuu,tunaamini kwa majina mengi but we mean the same,issue ni kujitambua kuwa unaamini katika Usahihi...
Wakuu Kiranga na NattyDread
Naomba niwajibu rasmi hoja yenu mnayosimamia kuwa urastafari SIO dini,
Mimi ninawaambia kuwa Urastafari ni DINI kamili ambayo waamini wake huitumia kuwasiliana na Mungu, ngoja niwaletee na picha halisi watu wakiwa kwenye ibada
Wakuu vumilieni kidogo, natumia simu hapa kila nikijaribu kurusha hapa zinagoma,Tunasubiri darasa man.
Kweli kabisa mkuu.
Mbaya zaidi wengi wanahubiri kujitambua lakini vitu vingi wanavyoamini viko hewani vinaelea.
Eti wanasubiri kurudi nyumbani Afrika kutoka uhamishoni, mpaka leo wanaamini watarudi sayuni(Ethiopia).
Haile Selassie sio tu alikula nyama, hakuwa na dread wala kufuata imani nyingi za kirasta...
Bali pia alikuwa anawalisha simba wake nyama nono katika kasri lake wakati waethiopia wanakufa kwa njaa (famine).
The whole thing is a legend shrouded in an unreal need for religiosity.
Mungu ni story tu. Hata akija kwa gia ya rasta.[/QUOTE]
ahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ahahahahaahahhaaaaaaaaa_same ile habari/hadithi ya kurudi kwa Yesu mkuu,...mpaka leo kapa.
anyway_inasaidia kupunguza mawazo yanayoleta stress lakini...just kwa kujiliwaza na hadithi hizi pendwa.
Mkuu Jah/Mungu ni nini?
Na unaamini kuwa Jah yupo?
Hakuna mungu, kama yupo thibitisha.
Hizo zote ni imani tu za kutaka kutafuta maana katika maisha.
Sigmund Freud anakambia habari nzima ya mungu ni habari ya watu wazima kutafuta a big father figure tu.
The Rastafarian movement is a very significant one in terms of resistance to the white power structure, in that it emphasize black culture and consciousness.
To the extent of installing a black godhead instead of worshipping a white Jesus.
But that does not mean the entire hoopla makes Selassie god.
There is no god.
NB: Selassie is flawed as any human, but very wise in his own context. I am reading his biography and speeches.Although blinded by years of privilege, he had that kingly character.
Roho ya mtu huishi baada ya kifo,unaposema yupo kaburini inamaana roho imekufa...
Waliokufa wote wako kaburini na kama unadhani kuna roho inaishi baada ya mtu kufa huo ni ushetani ukishakufa huna habari wala kumbukumbu hadi hukumu day
Na Bobumale je?
Haile selassie was a devote christian and a leader of ethiopia tawaedo Orthodox church. .n alivyoenda jamaica he said to his archbishop abune yesehaq " go to jamaica, ths people dnt understand our culture" he said ths after being praised n being called God. . .that mean he denied he is not God. .then why should rasta pray to him?
Huwa napitia pitia mazungumzo na discussions humu JF just to weigh the seriousness and apparent level of intellect of the contibutors!
Kutumia lugha yenu.... Sijawahi kusoma mtu kilaza kama huyu anayejiita Yericko Nyerere.
It's an insult to the intellectual legacy of the REAL Nyerere of whom you Yericko has assumed his name.
Why do you like to write so much rubbish about things you hardly know about? Obviously your academic and intellectual abilities come into question whenever I read most of the rubbish you write.
Or am I missing the gameplan here?
Mkuu Yericko Nyerere,Unatuambia wazungu 90% ni majini,Vile vile Israel na Sehemu ya Afrika MUNGU amewabariki watu wake,Inakuwaje Waliobarikiwa wanaishi kwa taabu na umaskini mkubwa huku wakiwa na viongozi mafisadi(Afrika) wakati wale ambao ni chukizo kwa MUNGU yaani majini ndio wana maendeleo makubwa (Ulaya) mpaka kufikia kuwasidia wale waliobarikiwa yaani Israel na Sehemu ya Afrika? Hebu nifafanulie hapo mkuu.....