Maana mbaya ya Emojis kwenye Jamii imefanya nikosane na Bebi wangu

Umekiri udhaifu wako mbele ya mpenzi wako(kwa story hii ya kutunga).
Jiandae siku nyingine akitaka jambo lake lazima lipite na kwa sababu tayari ana reference.

Kwa akili ya kawaida, hata kama ungekuwa akili unatumia za mkodisho huwezi kuthubutu kumtumia yeye kufikisha ujumbe kwa mchepuko wako ambaye ni housemaid wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…