Dada wa kazi alikuwa na msaada mkubwa sana kwako. Vipi ukaleta mwingine na akakuibia?
Kama mtu kichwani kwake ameshaamini kuwa kuna usaliti, huoni kumuondoa kwako ni kuhalalisha kile alichokihisi?
Ndio akarudi na kusitisha mahusiano? Huoni utakuwa umepoteza vyote?
Mwanaume anapaswa kujiamini na kuwa na misimamo. Halafu, mwanaume unatumiaje ma'emoji?