Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaaaaah!!! Yani misamiati mingine banah!!! Yani wanatunga wao wenyewe BAKITA, lakini cha kushangaza huenda hata wao wenyewe hawaitumii mitaani kama hali ya kuhimiza wengine kuweza kutumia. Utawakuta hata wao wanatumia Kiswa-English.Hii misamiati yenu huwa mnaibuni kutoka wapi aisee
1. Charger – kimemeshi
2. Appetizers –vihamuzi
3. Simcard – kadiwia/mkamimo
4. Memory card –kadi sakima
5. Business card – kadikazi
6. Microwave –tanuri miale
7. Cocktail party – tafrija mchapalo
8. Lift – kambarau
9. Toothpick – kimbaka
10. Scanner –mdaki
Ongezea misamiati mingine yenye utata.....
Duh!Kweli misamiati yenye utata!Ongezea misamiati mingine yenye utata
Ujinga mtupuHii misamiati yenu huwa mnaibuni kutoka wapi aisee
1. Charger – kimemeshi
2. Appetizers –vihamuzi
3. Simcard – kadiwia/mkamimo
4. Memory card –kadi sakima
5. Business card – kadikazi
6. Microwave –tanuri miale
7. Cocktail party – tafrija mchapalo
8. Lift – kambarau
9. Toothpick – kimbaka
10. Scanner –mdaki
Ongezea misamiati mingine yenye utata.....
Vihamuzi ina sound kama dawa za nguvu za kiume. Tafrija mchapalo inasikika kama pati ya kupigana miti😀😀Hii misamiati yenu huwa mnaibuni kutoka wapi aisee
1. Charger – kimemeshi
2. Appetizers –vihamuzi
3. Simcard – kadiwia/mkamimo
4. Memory card –kadi sakima
5. Business card – kadikazi
6. Microwave –tanuri miale
7. Cocktail party – tafrija mchapalo
8. Lift – kambarau
9. Toothpick – kimbaka
10. Scanner –mdaki
Ongezea misamiati mingine yenye utata.....
Wa BAKITA au mleta uzi?Jisemee mwenyewe tujue kama uitwe na kamati ya maadili ya bunge au tukukokote hadi BAKITA.
Mbona hao hao bakita waliwahi kusema ni 'kipando'
Ahsante Sana mkuu kwa kunielimishaMakini/ uhakika