tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
We ndo unachanganya madesa kwa kujifanya unajua makabila ya watu kuliko hata wao wanavyojijua.
Kinyarwanda na kihaya havisikilizani hata kidogo usitake kutuchanganyia madesa ya wasukuma na wanyamwezi.
Heri ungesema hata waganda kidogo. Kinyarwanda kiko mbali sana na kihaya. Kwenye maneno 100 unaweza okota moja au mawili. Lugha zinazo-share na kihaya kwa karibu sana ni kinyankole. Hii inapatikana kwenye mipaka ya uganda, rwanda na kagera hasahemu za karagwe. Kuna kinyambo kinapatikana karagwe. Kuna wajita na watu wa ukerewe sijui kabila ni gani. Hayo ndo makabila yanayo-share lugha.
kweli kabisa mkuu...kikerewe na kihaya vinakaribiana sana. mimi ni mkerewe.