Maana ya jina Tibaijuka

kweli kabisa mkuu...kikerewe na kihaya vinakaribiana sana. mimi ni mkerewe.
 
kweli kabisa mkuu...kikerewe na kihaya vinakaribiana sana. mimi ni mkerewe.

Ni kweli wakelewe na wazinza tunaelewana vizuri sana. Sasa hawa wazushi wanaofananisha lugha yetu tukufu ya kihaya na kinyarwanda siwaelewi kabisa.
 
Hebu nisaidie jina la "tiba" moja tu linayopatikana Rwanda ambayo ni similar na Tiba ya huku bongo. Au kwa urahisi zaidi nitajie mtu mmoja tu anayeitwa Tibantunganya as opposed to Ntibantunganya kama unavyodai.
 
Wewe nia yako ni ovu, mambo ya kihaya kama huyajui unyamaze kimya.
 
Labda Useme Burundi Na Rwanda Zilikuwa Sehemu Ya Tanganyika Kwani Tanzania Imekuja Juzi Tu.
 
Tibaijuka mala Tibanyendera enshonga Tibaigana...

Hivi Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka amemwibia nani? Labda Rugemalila (tafsiri "Nina uwezo wa kutatua matatizo yangu Mimi mwenyewe")...

Watu wengi wanalalama kwa sababu ya kukosa "mgao"... SOB
 
kisa katangaza urais je angekuwa anagombea USA si ndo mngemtoa kafara kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…