Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Mafanikio kila mmoja uyatafsiri kwa upande wakeMafanikio ni dhana inayowachanganya wengi mno kuielewa na kuifafanua. Mara kadhaa nimekuwa nikiwauliza jamaa na marafiki ila wamekuwa wakinipa maana ambayo kwa kweli inaonesha mahitaji yao.
Kuna mtu aliniambia mtu akiwa na gari zuri, mke n.k ndiyo mafanikio lakini ukiangalia kwa undani utabaini hayo ni mahitaji yake tu.
Hali hii imenifanya kuendelea kuisaka fasiri ambayo angalau utaweza kuionjesha akili utamu wa maana lakini leo hatimaye nimebaini kuwa "Mafanikio ni huduma unayoitoa kwa wengine". Tuanzie hapo, tunaweza kuingia ndani zaidi.
Karibu.
Hayo ni mahitaji yako.Mafanikio kila mmoja uyatafsiri kwa upande wake
Kwa upande wangu mimi mafanikio ni hali ya kuishi maisha uliyokua unayatamani.
Well said!.. ukifikia hatua hiyo ndipo nililoandika huduma ni sawa na ulivyoandika "kugusa maisha ya wengine"...asante sana KakaMafanikio ni utu, ubinadamu na kujali kwa kugusa maisha ya wengine wajisikie afadhali na kuepuka kuwaumiza.
Hapo bado upo kwenye mahittmahittmMm naona mafanikio ni kitimiza ndoto na malengo ya mtu
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mkuu bado, ukitimiza ndoto ili nini sasa?. Tunachanganya sana mahitaji yetu na mafanikio yetu.Mm naona mafanikio ni kitimiza ndoto na malengo ya mtu
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app