Maana ya maisha mazuri

Unataka wanawake wenye makalio makubwa tuanze kutukanwa mkuu.
Ila nakuambia, kuwa na makalio makubwa si kigezo cha kupata ndoa.
 
😁😁 mkuu milo mitatu mbona ni mingi sana simtakua wanono sana?
nime weka hadi 9😆, beside nakula ugali kilo moko mwenyewe .

home chai saa 1, hapo katikati ni kudonoa donoa vilivyopo.

Ila ukija kwa jobless pro max, ni pasi ndefuuuu🤣😂
 
Kwangu mimi kuwa kazi nzuri/kipato/ afya. .na kuwa huru nibora zaidi.
 
😂😂😂
 
Unamiliki mke mzuri alafu anakusumbua tabia mbovu akuheshim ukisema nae anjibu kwa juu,, bwanaa eeee usisumbue mm! 😉 Bora uwe na nyumba nzuri mke mwenye heshima na tabia njema. Awe mzuri asiwe mzuri
 
Vijana mkishachukua mikopo ni wasumbufu sana.Ngoja tuone.
 
Maisha mazuri ni dhana Pana,ww umezungumzia angle moja ya kidunia,umezungumzia umiliki wa vitu,ukavipa ubora kwa mtazamo wako (sikupingi) Ila...
Kuanzia sasa elewa kua maisha mazuri ni yale yampendezayo Mungu,kulingana na Imani yako,kuishi kwa kufuata mafundisho/maelekezo na kuacha kutenda yaliyoharamishwa na vitabu vitakatifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…