Maana ya mnara wa Babeli nchini Tanzania na miaka mitano mingine ya Rais Samia

Maana ya mnara wa Babeli nchini Tanzania na miaka mitano mingine ya Rais Samia

makotineto

New Member
Joined
Dec 30, 2024
Posts
4
Reaction score
0
Watu wengi mumekuwa mkihusisha maana halisi ya maana ya mnara wa Babeli kama jinsi neno la Mungu linajieleza lenyewe lakini ikitazamia katika upande wa kiroho ukagusia sehemu ndogo tu ya siasa na amani katika nchi hii ya Tanzania utaona kuna ujenzi wa mnara wa Babeli japo si wote ambao
tunaliona jambo hili

Mada hii inazungumzia kwamba hapo zamani watu walisemekana wao wenyewe kwa lugha moja wawe na ushirikiano wajenge mnara wa Babeli na lengo lako lilikuwa ni chukizo mbele za Mungu sasa hapa kuna mkanganyiko mkubwa ukija katika ulimwengu wa kiroho katika ulimwengu wa kiroho ujenzi wa mnara wa Babeli ni jinsi serikali yetu ya awamu ya sita chini ya Dkt.Samia Suluhu Hassani anayoongoza nchi sasa kama tunaelekea uchaguzi mkuu wa 2025 vyama vinavyoletwa hoja ya kwamba zinajitoa katika uchaguzi huu

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wanatengeneza mnara wa Babeli ambao lengo lake ni kuleta fujo na ndani ya fujo hizo kuna maisha ya watu yatapoteza kupitia maandamano sasa ujenzi wetu inaonekana una lengo baya na hata Mungu akishuka angalieni jinsi tunavyojenga mnara wetu yaani maandalizi ya uchaguzi mkuu lazima atachafua lugha yetu kumbuka sio mtanzania atashindwa kuelewa nini anaagizwa na mwenzake bali hatutakuwa na ushirikiano ugomvi kati ya chama kimoja na kingine

Jambo ambalo ni hatari basi mimi kama mwandishi nashauri vijana wenzangu Chadema yetu inapoelekea inatengeneza bomu la kutuua basi kama imedhiraa uchaguzi hakuna haja ya kubembeleza chama hivyo tutengeneze tano nyingine za mama mwaka2026 naongea hivi kwa sababu mimi ni mwanaCCM balaa nayoze nakaribisha maoni yako ushauri ili makala zangu ziweze kuwa bora zaidi Mungu alibariki kwa pasaka ya Bwana Ameen
 
Back
Top Bottom