Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

Mbona Chid Benzi alitoa wimbo unaitwa Mashallah na hakikunuka?
Hiyo mashallah hata waimba taarab wanatumia huwezi kufananisha mashallah na haleluya labda usema takbir tuanzie hapo ndio tutaelewana
 
Tatizo umalaya wanaupenda ila hawawezi kuuuacha.
Kumsifu Mungu kwa nyimbo za injili wanatamani ila muda hawana. Wanatamani watu wote wawe wafuasi wao lakini inagoma.
Neno hallelujah ni neno lenye maana ya kushukuru kiroho baada ya kubarikiwa na jambo lolote lenye nasaha za kiroho.
Yaweza kuwa nyimbo za injili, kuabudu, kusifu au mahubiri.
Sasa nyimbo za diamond na hilo neno wapi na wapi.
Ur very right
 
Mbona wachungaji wenu.kila leo wanasema Halelujah na bado wanafanya uzinzi na waumini wao?
Mbona Ngwajima kila leo husema Halelujah huku alizaa nje ya ndoa na Madam Frola?
Wewe ni pepooooo
 
Kwani yeye diamond kuwa na watoto na uhai alio nao.havitoshi kusema halelujah? Acheni unafiki....watu huwa mnaenda makanisani kutongozana na bado mnaimba Halelujah....Mungu ni wawatu wote....
Why asingesema takbir? Unawashwa wewe
 
Anashaurika? Kasema mtu akimwambia kitu cha kitu cha kufanya ndio amepoteza kabisa (tamka kama msukuma hapo)

Ni kweli, shenanigans yupo kazini na anawatumia binadamu Anna this time ni Hutu bwana. Wakristo ni Wapole sana. Kwenye Dini yake kama angetumia neno Kuu kama kama hill ambalo limeandikwa kwenye kitabu kitakatifu kuenzi ukuu wa Sio Mungu tu bali hata Mtune, tungesikia reaction kubwa sana hata kumtishia uwepo wake. Lakini kwa kuwa Brno hilo linatumika zaidi upande usiosema sana, viongozi wa imani yake Sio ajabu watanyamaza walio wengi sana.

Any way, Mungu anajua jinsi ya kumshughulikia maana najua anajua anachokifanya. Kama hajui mtu fulani atatumika kumfahamisha kosa hilo, tena kwa upole sana.
Amen barikiwa sana
 
Why hakutumia hilo neno kupitia imani yake? Kwani halipo
Kwani hilo neno hallelujah linahusiana na imani gani na kwa ushahidi gani? maana isije ikawa hao watu wa hiyo imani ndiyo wamejimilikisha hilo neno!

Hata Yesu pia waislamu wanamtambua kivyao na wakristo wanamtambua kivya,hivyo ni wazi kuna imani moja hapo imejimilikisha Yesu.
 
Hiyo mashallah hata waimba taarab wanatumia huwezi kufananisha mashallah na haleluya labda usema takbir tuanzie hapo ndio tutaelewana
Kwani Mashaallah lina maana gani na hallelujah lina maana gani?
 
Yesu ndo Allah according to nani au nini?!
Huyo anayesema kwamba hata wakristo wa uarabuni wakitaka kumtaja MUNGU kwa kiarabu wanaita ALLAH....ndy nasema YESU ndy ALLAH?nauliza tu....maana wao wanasema yesu ni MUNGU...wanaosema Praise the lord means BWANA ASIFIWE.. au MUNGU atukuzwe.... Ndy wanamaanisha ALLAH? ikumbukwe MUNGU(ALLAH) na MUNGU wa wakristo ni miungu tofauti....MUNGU wa wakristo KAZALIWA. alikuwa ANAKULA,,ANALALA,,hadi kufikia Kupigwa makofi na kusulubiwa... MUNGU (ALLAH)hakuzaa..wala hakuzaliwa,,wala hafanani na yeyote ,,wala chochote DUNIANI na MBINGUNI,,,MUNGU wa mwanzo na mwisho,,,hyo ndy ALLAH MUUMBA WA MBINGU na ARDHI,,kwahyo HALELUJAH ni tofauti kabisa na UISLAM...na elewa hata hao makafiri wa ZAMA HIZO WAPINGA UISLAM walikuwa hawamtamki ALLAH,,wao walikuwa na MIUNGU yao wanaiabudu... Na wanajuwa km ALLAH ndy MUNGU wa ISLAM...sio wa WAKRISTO au BANIANI .....ndy nikatoa mfano kama ALLAH means MUNGU? kwa kiarabu? Unaweza ukasema neno ALAH KANISANI?kama hujafukuzawa.....pia ALAH ana majina 99 ...RABI ,,ALAMIN ,,KAREEM, ,HAKEEEM,,RAHMAN,,RAHEEM, ,yote ni miongoni mwa majina yake MTUKUFU...
 
Nilivoelewa mimi, Mond anampraise God kwa kuumba mtoto mzuri aliyemuimbia humo......"she makes me say......halelluyaaaa". So yupo sawa tu.
Mkuu kuna watu humu wanalazimisha HALELUJAH na ALHAMDULILAH ni sawa.tofauti ni LUGHA tu...ndy tunapambana nao humu...
ALHAMDULILAH...Maana yake namshukuru MUNGU(ALAH)..na nimekuwekea ALAH kwenye mabano (MUNGU) ili uelewe...hapa Duniani kuna MUNGU wengi tu. Hata NJIWA..NA NG'OMBE pia kuna watu ni miungu yao....hyo PRAISE THE LORD....ni tunamsifu BWANA....na haifanani na NAMSHUKURU MUNGU..na hata ikiwa ina maana ya kumshukuru MUNGU? basi sio MUNGU HUYO ALAH...hyo ni MUNGU aliyepigwa VIBAO..na MATEKE. ..usipepese maneno...kama hayo maneno ni sawa. ..SEMA KANISANI ALHAMDULILAH kama hujafukuzwa ....usitetee VITU usivyovijuwa maana yake..au umeona wapi neno HALELUJAH likatamkwa MSIKITINI? hayo ni maneno ya dini mbili tofauti..wala hayafanani maana...wala wanayoyatumia...hata leo PADRI aseme alhamdulikah kanisani kama hamjahama kanisa.
 
Huyo anayesema kwamba hata wakristo wa uarabuni wakitaka kumtaja MUNGU kwa kiarabu wanaita ALLAH....ndy nasema YESU ndy ALLAH?nauliza tu....maana wao wanasema yesu ni MUNGU...wanaosema Praise the lord means BWANA ASIFIWE.. au MUNGU atukuzwe.... Ndy wanamaanisha ALLAH? ikumbukwe MUNGU(ALLAH) na MUNGU wa wakristo ni miungu tofauti....MUNGU wa wakristo KAZALIWA. alikuwa ANAKULA,,ANALALA,,hadi kufikia Kupigwa makofi na kusulubiwa... MUNGU (ALLAH)hakuzaa..wala hakuzaliwa,,wala hafanani na yeyote ,,wala chochote DUNIANI na MBINGUNI,,,MUNGU wa mwanzo na mwisho,,,hyo ndy ALLAH MUUMBA WA MBINGU na ARDHI,,kwahyo HALELUJAH ni tofauti kabisa na UISLAM...na elewa hata hao makafiri wa ZAMA HIZO WAPINGA UISLAM walikuwa hawamtamki ALLAH,,wao walikuwa na MIUNGU yao wanaiabudu... Na wanajuwa km ALLAH ndy MUNGU wa ISLAM...sio wa WAKRISTO au BANIANI .....ndy nikatoa mfano kama ALLAH means MUNGU? kwa kiarabu? Unaweza ukasema neno ALAH KANISANI?kama hujafukuzawa.....pia ALAH ana majina 99 ...RABI ,,ALAMIN ,,KAREEM, ,HAKEEEM,,RAHMAN,,RAHEEM, ,yote ni miongoni mwa majina yake MTUKUFU...
Kuna mahali nilisema kwamba Hallelujah imetokana na two Hebrew words: “Hallelu” na “Yah” Hallelu ni Tumsifu, Yah ni Mungu! Aidha, nikasema, the exact Hebrew word ni YHWH ambayo haina vowels. Huyu YHWH ameanza kuabudiwa na Wayahudi kabla ya ujio wa Kristo.

Lakini kwa imani za Kiyahudi, YHWH sio wa kutajwa tajwa na ndio maana, pale wanapolazimika kumtaja (kama sio kwenye Ibada) YHWH wakawa wanamtaja kama HaShem. Na zilipokuja English translation, wakatumia neno LORD ili kuendana na utamaduni wa Kiyahudi wa kukwepa kumtaja taja YHWH.

Na ndio maana, wakati God inaandikwa God kama kawaida, kwa Lord inatakiwa kuandikwa LORD; all capital kuendana na uandishi wa YHWH ambayo ni all capital. Na kwa kuonesha Wayahudi hawataki kumtaja taja Mungu, hata baadhi ya Jewish sources zinazoandika kwa Kiingereza, huwa hawaandiki God bali G-d!

Kimsingi Ukristo, Uislamu na Uyahudi unaamini Mungu mmoja isipokuwa ndani ya Ukristo, kuna Utatu Mtakatifu.

Kwa Wayahudi, hakuna Utatu Mtakatifu and so, God Onesss kwenye Uyahudi haina tofauti na Uislamu!!! Kwenye Uyahudi, hivi ndivyo wanavyosema kuhusu Mungu:
  • There is only one God. No other being participated in the work of creation.
  • God is a unity. He is a single, whole, complete indivisible entity. He cannot be divided into parts or described by attributes. Any attempt to ascribe attributes to God is merely man's imperfect attempt to understand the infinite.
  • God is the only being to whom we should offer praise. The Shema can also be translated as "The Lord is our God, The Lord alone," meaning that no other is our God, and we should not pray to any other.
You sound like Muslim! Now tell me, kuna tofauti yoyote ya Wayahudi wanavyomchukulia YHWH na vile Waislamu wanavyomchukulia Allah?! As far as I know, Waislamu nao ndivyo hivyo wanavyomchukulia Mungu. Na ndio maana kuna siku hapa niliwahi kusema kwamba, Uislamu unakaribiana sana na Uyahudi kuliko Ukristo unavyokaribiana na Uyahudi nikiwa-diss Wakristo wanaopenda sana kujiegemeza kwa Wayahudi! Aidha, Uislamu unauheshimu zaidi Ukristo na Yesu Kristo kuliko Uyahudi unavyouheshimu Ukristo na Yesu Kristo!!!!!

Sasa badala ya kujihangaisha na majina, tangu mwanzo nilisema tujikite kwenye sifa kuu za yule anayetajwa! Sasa kwa kuangalia Uyahudi na Mungu hapo juu, how come unasema Hallelujah ambayo msingi wake ni YHWH halina uhusiano na Mungu Allah?!

Tukija kwenye Ukristo, bado Mungu nao ni yule yule kwa sababu, kimsingi, Christians don't believe in 3 Gods but ONLY One God ambae sifa yake kuu ni uumbaji! The problem kwa sisi ambao sio imani yetu linakuja kwenye dhana ya Utatu Mtakatifu lakini utatu mtakatifu huu wala hauna maana kwamba kuna Mungu zaidi ya mmoja! To be honest, hata Wakristo wenyewe sio wengi wenye ubavu wa kuidadavua vizuri dhana ya Utatu Mtakatifu. Sana sana wataishia kusema ni Mungu Mmoja ambae ni Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu!!!

Is like Waislamu, kwa kuwa Mungu alikuwa anamtumia Jibril kumfikia Muhammad, basi nao waweke dhana ya Utatu Mtakatifu kwamba, Mungu Baba ni Allah, Mungu Mwana ni Muhammad na Roho Mtakatifu ni Jibril! But still, Mungu Mkuu anaonekana kwenye huo "utatu" kama ambavyo Wakristo wanavyojua kutofautisha kati ya Mungu Yesu na Mungu mwenye uwezo wa kutoa na kutwaa uhai; Mungu atakayetoa hukumu!!!

But on top of that, pamoja na Uyahudi kuwa na Strictness kwenye God oneness huku Wakristo kukiwa na Utatu Mtakatifu; bado Wakristo wanaamini Mungu wanayemuamini ndie yule yule anayeaminiwa na Wayahudi ambae sifa zake kutokana na Jewish religion kama nilivyoandika hapo juu; hazina tofauti yoyote na sifa za Allah wa "Waislamu"

Sasa how come iwe hawa watu wawe wanaabudu Mungu tofauti?!

Hiyo hoja kwamba "so and so" unaweza kutamka kanisani nishaelezea vya kutosha!!!!! Lakini kama utasema Alhamdulillah kwa Padri aliyesoma theology, hususani Wakatoliki ambao wanachukua muda mrefu sana kusoma; katu kwake haitakuwa tatizo lakini tatizo litakuwa kwa wale wenzangu mimi!!

Tatizo la hizi dini zinaishia kufundisha kilichomo kwenye Bible & Quran lakini hazifundishi theology na ndio maana ni ngumu sana kuelewana!!!!
 
Nimekusoma mkuu..na nimekuelewa vzr sn tu..tena coment yako ni vigumu sn kujuwa upo upande gn..labda nikueleweshe tu tatizo lililopo ktk wayahudi...ukristo na uislam..MUNGU ( ALLAH)alipoumba DUNIA..akashusha na mitume yake..na MUNGU hakuumba binadamu kwa lengo jingine zaidi ya KUABUDIWA YEYE ALLAH..hivyo basi baada ya kushusha DINI YAKE?akashusha na vitabu vyake....na ktk mitume yake yote hyo aliyowahi kushusha na kuwapa VITABU VITAKATIFU..wote walikuwa ni WAYAHUDI...isipokuwa MUHAMAD( SAW) pekee ndy alikuwa ni muarabu....na kizazi cha MUHAMAD(SAW)kimetokana na uzao wa NABII ISMAIL,,mtoto wa nabii IBRAHIM ambaye ambaye IBRAHIM alikuwa ni MYAHUDI lakini mkewe ailikuwa ni MUARABU...na ndy huyo mtoto(ISMAIL) aliyetaka kuchinjwa na IBRAHIM na MUNGU(ALLAH) akambadilishia KONDOO instead of him...na ndy huyo IBRAHIM akajenga msikiti mkuu wa MAKHA pale pale ALIPOCHINJA KONDOO..Na ni MSIKITI ambao waislam LEO tunakwenda KUHIJI..huo ndy UHUSIANO ULIOPO baina ya wayahudi na UISLAM....kabla ya UKRISTO kuwaingia wao walikuwa waislam...MUNGU alishusha vitabu vitakatifu 4...TORATI ya MUSSA..ambayo ina AMRI kumi za MUNGU.ambazo hata waislam tunazitumia...na MUSSA ni myahudi...akashusha INJILI YA ISSA( YESU) ambaye ni myahudi...akashusha ZABURI YA DAUDI ambaye ni myahudi.. akashuka QURAIN kwa MUHAMMAD(SAW) ambaye ni muarabu...kwa hyo kabla ya hao wanaovuruga maneno hawajavuruga...ilikuwa IPO HIVYO...na hata huo UKRISTO upo mbali na wayahudi sababu huo ukristo haukuanzia ISRAEL..kwa WAYAHUDI .ulianzia ITALY...ambako hata YESU mwenyewe hakuwahi kufika...na hata sisi waislam tunamtambuwa YESU kama ni mtume wa MUNGU(ALLAH)..ila wao wakristo hawamtambui MUHAMAD kama mtume wa ALLAH..ndy maana nasema hao hawamtambuwi ALLAH kama ni MUNGU wa ulimwengu kama wangemtambuwa ALLAH basi wasingemkana MUHAMAD(Saw)...ipo SALA MOJA wao wanaitumia sn tu..BABA YETU uliye mbinguni...Jina lako Litukuzwe...UFALME wako ufike.Utakalo lifanyike Duniani kama MBINGUNI..utupe leo mkate wetu kama utupao kila siku.....pale wanaposema NA YESU KAFIA MSALABANI ndy wanapotuvuruga..lakini ni sala safi kabisa kusoma na kufanikiwa. ...tatizo lipo hapo kwa UKRISTO NA UISLAM ,,lakini UYAHUDI na uislam ndy kwao....
 
Why hakutumia hilo neno kupitia imani yake? Kwani halipo
The same question lingekuwa valid kwa neno la imani yoyte...

DIni haina maneno yake, ila lugha inayotumika kwenye kuhubiri dini fulani ndo huwa na maneno yake...

Na hiyo ndo hupelekea kujua huyu kaongea kimeru, kisukuma, kichaga, kindendeule, kimatengo au kinindi tec...
 
Nimekusoma mkuu..na nimekuelewa vzr sn tu..tena coment yako ni vigumu sn kujuwa upo upande gn..labda nikueleweshe tu tatizo lililopo ktk wayahudi...ukristo na uislam..MUNGU ( ALLAH)alipoumba DUNIA..akashusha na mitume yake..na MUNGU hakuumba binadamu kwa lengo jingine zaidi ya KUABUDIWA YEYE ALLAH..hivyo basi baada ya kushusha DINI YAKE?akashusha na vitabu vyake....na ktk mitume yake yote hyo aliyowahi kushusha na kuwapa VITABU VITAKATIFU..wote walikuwa ni WAYAHUDI...isipokuwa MUHAMAD( SAW) pekee ndy alikuwa ni muarabu....na kizazi cha MUHAMAD(SAW)kimetokana na uzao wa NABII ISMAIL,,mtoto wa nabii IBRAHIM ambaye ambaye IBRAHIM alikuwa ni MYAHUDI lakini mkewe ailikuwa ni MUARABU...na ndy huyo mtoto(ISMAIL) aliyetaka kuchinjwa na IBRAHIM na MUNGU(ALLAH) akambadilishia KONDOO instead of him...na ndy huyo IBRAHIM akajenga msikiti mkuu wa MAKHA pale pale ALIPOCHINJA KONDOO..Na ni MSIKITI ambao waislam LEO tunakwenda KUHIJI..huo ndy UHUSIANO ULIOPO baina ya wayahudi na UISLAM....kabla ya UKRISTO kuwaingia wao walikuwa waislam...MUNGU alishusha vitabu vitakatifu 4...TORATI ya MUSSA..ambayo ina AMRI kumi za MUNGU.ambazo hata waislam tunazitumia...na MUSSA ni myahudi...akashusha INJILI YA ISSA( YESU) ambaye ni myahudi...akashusha ZABURI YA DAUDI ambaye ni myahudi.. akashuka QURAIN kwa MUHAMMAD(SAW) ambaye ni muarabu...kwa hyo kabla ya hao wanaovuruga maneno hawajavuruga...ilikuwa IPO HIVYO...na hata huo UKRISTO upo mbali na wayahudi sababu huo ukristo haukuanzia ISRAEL..kwa WAYAHUDI .ulianzia ITALY...ambako hata YESU mwenyewe hakuwahi kufika...na hata sisi waislam tunamtambuwa YESU kama ni mtume wa MUNGU(ALLAH)..ila wao wakristo hawamtambui MUHAMAD kama mtume wa ALLAH..ndy maana nasema hao hawamtambuwi ALLAH kama ni MUNGU wa ulimwengu kama wangemtambuwa ALLAH basi wasingemkana MUHAMAD(Saw)...ipo SALA MOJA wao wanaitumia sn tu..BABA YETU uliye mbinguni...Jina lako Litukuzwe...UFALME wako ufike.Utakalo lifanyike Duniani kama MBINGUNI..utupe leo mkate wetu kama utupao kila siku.....pale wanaposema NA YESU KAFIA MSALABANI ndy wanapotuvuruga..lakini ni sala safi kabisa kusoma na kufanikiwa. ...tatizo lipo hapo kwa UKRISTO NA UISLAM ,,lakini UYAHUDI na uislam ndy kwao....
Hayo yote uliyosema ni sahihi! Hata mimi nilitaka kugusia suala la Nabii Ibrahimu nikachelea kuifanya post ndefu.

Ngoja hapa niseme jambo moja! Wakristo kutotambua Muhammad wala isikupe shida hata kidogo kwa sababu hizi dini 3 za kitabu ndivyo zilivyo! Hizi dini 3 zina sifa kuu ambayo inafanana!!!

Sifa hiyo ni kwamba, kila dini inamkubali mtume aliyetangulia lakini inamkana mtume aliyefuatia!!!

Tukimwachia Daudi na Zaburi yake; tumchukue Mussa na Torati yake na umma wake ni Wayahudi.

Baada ya Mussa na Torati yake akafuata Issa na Injili yake!!! Kama nilivyosema hapo juu kwamba hizi dini huwa zinakubali wale waliowatangulia na kuwakataa wale wanaokuja; Wayahudi wakamkana Nabii Issa na Injili yake pamoja na umma wake! Hapa wameikana ile dini iliyofuatia. Na hata ukisoma kwenye Agano Jipya, unakutana na aya ambazo Wayahudi walikuwa wanachimba Nabii Issa wakitaka kufahamu ikiwa yeye ni yule ambae ametabiriwa kwenye Torati.

Unaposema Wakristo hawamtumbui Allah inategemea kwako Allah ni nani na hao Wakristo wasiomtambua Allah; kwao wao Allah ni nani!!!

Kama unaamini Allah ni Mungu wa Waislamu, then of course, hata Mkristo anayeamini Allah ni Mungu wa Waislamu nae hatamtambua!!!!

Uzuri umeanza na historia kutokea kwa Nabii Ibrahim ambae, kupitia Nabii Ismaili ndiko ulitokea uzao wa Nabii Muhammad na kupitia Ishihaka ukaja uzao wa Musa na hatimae Yesu!

Swali: Ikiwa Ibrahimu na uzao wake walikuwa wanamuabudu Mungu yule yule aliyekuwa anamwabudu Mtume Muhammad, how come Wakristo ambao ni uzao wa Isihaka wa Ibrahimu yule yule wawe wanamwabudu Mungu tofauti na yule anayeabudiwa na uzao wa Muhammad?!

Hapa usiangalie Wakristo wasio na elimu ya dini wanasema nini bali angalia chimbuko na misingi ya imani ya hizi dini!!! Ukiangalia Wakristo tena wasio na elimu ya dini lazima watakuambia Allah ni Mungu wa Waislamu kwa sababu, nishasema, hizi dini zina silika za kuikana dini iliyofuata! Na katika kuikana huko lazima watafute namna ya ku-discredit mambo mbalimbali!!!! Wasipo-discredit na kukubali Allah ndie Mungu wa wote, swali litakalofuata "....kama ndivyo, ni kwanini basi hawataki kuikubali Quran" jambo ambalo katu halitakuja unless kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu mwenyewe!

Na issue ya Wakristo kutomkubali Muhammad has nothing to do na suala lao la Utatu Mtakatifu au hata kufa na kufufuka kwa Yesu!!! The main issue ni ile ile; kumkana anayefuata na kumkubali aliyekutangulia!!! Na ni kutokana na ukweli huo ndio maana ingawaje Uyahudi na Uislamu unakaribiana sana na wao wala hakuna mambo ya Utatu Utakatifu wala fulani kafa msalabani, but still na wao wanamuona Muhammad ni shetani tu na kitabu chake ni cha kishetan hali kadhalika na umma wake nao ni wa motoni tu!!!!!

And of course, na wao ili kuuponda zaidi Uislamu, watakuambia Allah na YHWH ni Mungu wawili tofauti na huyo Allah ni shetani tu!!!! Lakini ukiangalia misingi inayomwelezea Allah na YHWH ni ile ile!!! Ni kama unavyomwelezea Rais John Magufuli wa Tanzania na Bi. Theresa May ambae ni Waziri Mkuu wa Uingereza!!!

Huyu anaitwa Rais na yule anaitwa Waziri Mkuu lakini ukichimba roles zao ni zile zile kiasi kwamba unakuta John Magufuli mwenye title ya Urais yupo closely related na Bi. May anayetambulika kama Waziri Mkuu huku akiwa completely different na Wallace Karia ingawaje na yeye ana title ya Urais kama Magufuli!!!!

Hii maana yake nini?! Ni kwamba, usiangalie majina bali angalia misingi yenyewe na roles zake! Na wala usiangalie madogomadogo kama vile huyu haamini hili na kile bali misingi! Kwa sababu, ukiangalia mambo madogomadogo hata ndani ya dini ile ile huwa wanaitilafiana wenyewe kwa wenyewe lakini katu huwezi kusikia wanahitilafiana kwa mambo ya msingi! Na wakiitailafiana na mambo ya msingi, muhusika anakuwa tayari ametoka kwenye imani husika hata kama ataendelea kujitambulisha kwa imani hiyo!
 
Sawa mkuu....nimekuelewa vzr sana mkuu.....
 
Back
Top Bottom